This's just perfect.
"Na palipo na True Love pana Mungu"
Ina march na hii topic. Nitaamini hii ndiyo iliyowaweka pamoja huyu mdada 'Jazzy' na mumewe. Kusingekuwepo na msaada wa nguvu ya ziada, sidhani wange last kama familia nzuri na kuwa mfano kwa wengine kama hivi.
Mimi natafuta muathirika sipatiVery true girl!
Hata sijui napenda tuKwa nini unataka muathirika?
Nalendwa mpakwa mafuta hujambo?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mafuta kama benpol[emoji13]Mafuta ya roho right!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Umesahau tu kutaja pesa na utajiri.Huyo dada lakini mzuri sema tu hajiamini,ana tabasamu zuri sana na uso wenye furaha. Wanaume hawatabiriki tizama sana utofauti mara nyingi wa mke na hawara si tu wa maumbile bali hata tabia.
Beauty is in the eye of the beholder na hayo ya huyo kaka ni dunia tu inatujengea tupende watu wa hivi ndio wazuri ila mioyo ni kitu kingine na tungeruhusiwa bila kuwa judged kuolewa na tunayempenda kwa dhati bila kujali sijui elimu,kabila na upupu mwingine dunia ingekuwa kitu cha tofauti
Na hapa ndipo wengi huwa tunapotea njia.Sometym history inasaidia ku make love
Huez jua huyo mdada amemsaidiaje huyo kk au wametoka wap
Kamuangalie etoo alikua mchezaji anaelipwa kuliko wote dunian kamuoa mwanamke wake wa tangu utoton coz ya walipotoka
Sema mtu kama ww ukiwa hujui ndo unabaki kujiuliza huyu dada kampa nn huyu kk??? Coz nyie mnapenda mkute kila kitu kishaji-settle mtu na body lake pesa zake tyr ndo mnachopenda
Duu mwanangu una hasira?mkishazeek huko na hapo ukute janamke lilikua linagawa kama njugu sinza yote washakula huo uchi,wee kila usiku inapewa ma ofa ya bia na nyama choma bar na night clubs mkitoka hapo inaenda banjuliwa..worse kila mtu anakojolea huko.. ukishafika 35 ushachuja na mkitambi wako huko na makeups zinapwaya mamichirizi hadi usoni ndo une kunipenda mm HB iliekua unanikataaa nikiwa kapuku???
sili viporo vilivyopoa maaanina ...naanzaje kumvua chupi mbibi akati kuna mabinti wadogo tena wasafi chuchu saa 6
mbàaaaaaf[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Nyinyi watu humu bado mmo tu, hamzeeki tu.Kabisaaa, and huwezi jua mtu anahitaji nini kwenye mahusiano
tutaenda wapi nduguNyinyi watu humu bado mmo tu, hamzeeki tu.