Nampenda huyu Mume

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,488
2,000
2017%2F6%2F7%2Ff162b5ff-9da6-4f30-af84-ff534087c921.jpgJazzy is one of the luckiest woman on planet kuwa na mume anayempenda kama alivyo.
Huyu mwanaume amependa kila "spare tire" mwilini mwake, kila stretch mark na jinsi alivyo bila kujali au kuona kama yeye anavutia zaidi ya mkewe.

"How could a man who was 'born fit' love someone like me! I don't have a flat stomach, I jiggle when I walk, hell if I run up the stairs to fast my body claps (lmao)!! But now I see I do have the 'perfect' body!! Every roll, every curve and every stretch mark is put on me just perfect to make both of us happy!!!..

BBCgCvY.png

Post ya Jazzy ni viral Insta, na amesifiwa sana kwa ujasiri. Sio wote tunaweza jianika hivyo na bathing suit, halafu mwanaume yuko Fit hivyo.
Wakina kaka mtupende na spare tires zetu kama mwenzenu, mbona nyie tunawapenda na vitambi vyenu??!!!

The guy is HAWT! tho..

BBCk9oX.jpg
 
Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,488
2,000
Usipate taabu dunia ni kijiji siku hizi hebu Google upate address yake na upeleke application yako, usisahau kutuletea marejesho

Tehe!, nimetoa tu mfano kama mwanaume wa kuigwa jamani.
Mwanaume anayevutia kiasi hicho kuwa na mwanamke kama 'Jazzy' si rahisi sana.
 
Michelle

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,391
2,000
Huyo dada lakini mzuri sema tu hajiamini,ana tabasamu zuri sana na uso wenye furaha. Wanaume hawatabiriki tizama sana utofauti mara nyingi wa mke na hawara si tu wa maumbile bali hata tabia.
Beauty is in the eye of the beholder na hayo ya huyo kaka ni dunia tu inatujengea tupende watu wa hivi ndio wazuri ila mioyo ni kitu kingine na tungeruhusiwa bila kuwa judged kuolewa na tunayempenda kwa dhati bila kujali sijui elimu,kabila na upupu mwingine dunia ingekuwa kitu cha tofauti
 
Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,490

hata mimi namshangaa mbona huyo mdada mzuri sana tu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom