Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Tatizo munataka Hela
Dada, ndoa is more than just muonekano wa wanandoa.Wala sikumaanisha hivyo, nilimaanisha nampenda jinsi anavyomkubali mkewe, na pia kuhusiana na mtazamo wa huyo dada. Kwa jinsi alivyo hakutegemea mume wake angempenda na kuendelea kuwa nae, ukizingatia mume mwenyewe ni very good looking
Kwani huyu mwanaume anavutia nini?
Huyu jamaa naye mzembe. Anamwachaje mkewe awe picha ya michelin wakati yeye ni six pack?
Yaani ww ndio kilaza zaidi ya bashite walah tena na hii ni post yangu ya mwisho cwezi kujibizana na mtu asojielewa sasa mm mambo ya kudinda yananihusu nn??ww hunifahamu tuliza pumbu unaruka ruka tuu...eti najifariji[emoji23] [emoji23] asee pole sanaa ndio maana nilikuambia hujiamini mtt Mdogo ww unasubiri mwanamke au mwanaume mwenzio akuambie unamvuto c UKIHIO huo aahgg...kwakuwa leo is Sunday naomba niishie hapa.Yaani we ni hewa kabisa. Eti una mvuto.....mvuto huo unajipa mwenyewe. Mvuto tunaona sisi wanaume sio wewe acha kujifariji na sura yako ya kiume.
Let me give u a true story, nilipokuwa chuo kulikua na dada classmate mrefu kidogo, mwembamba lakini si sana, mweupe yuko smart sauti nzuri, sura tamu kwa kumuangalia tu ni bonge la mwanamke.
Kulikuweoo na classmate mwingine "dem" wa kawaida. Alikua mfupi, ana uso mpana nasura ya kawaida sana, kibonge, ana nywele (vinyweleo) nyingi mikononi na miguuni.
Siku moja nilikuta washikaji wanajadili kwamba yule demu anayeonekana mzuri is not romantic hata chembe. Unaweza kukaa naye getto (hostel room) mkiwa wawili tu au sehem ya faragha just two of you na usimfeel hata kidogo. Wadau kadhaa walikua wanatoa experience zao. Maana kuna ile umekaa na dem sehem fulani hata kama sio wako wanaume huwa tunapata kahisia fulani.
The same people wakawa wanamsifu yule dem kwamba ukikaa naye sehem ya upweke kama nilivyoleza hapo juu ni lazma mwanaume utadi***sha na kupata hisia kali. Na wala hakuwa na tabia za kutega watu.
Wadada mnajidanganya na muonekano mnadhani ndio kila kitu. Kwa kawaida mtu ni rahisi kumfukuzia dem mkali akisha kula huyo anasepa. Just kutia sign tu kwamba naye alishapita.....tunaowaoa ni hao hao nyie mnaowaona hawawazidi kwa muonekano.
Na palipo na TRUE LOVE pana MUNGU pia, refer maana ya UPENDO kibiblia.
Good luck for you two.
Cc mate wangu mahondaw