Nampenda huyu Mume

Nampenda huyu Mume

View attachment 521673


Jazzy is one of the luckiest women on planet kuwa na mume anayempenda kama alivyo.
Huyu mwanaume amependa kila "spare tire" mwilini mwake, kila stretch mark na jinsi alivyo bila kujali au kuona kama yeye anavutia zaidi ya mkewe.

"How could a man who was 'born fit' love someone like me! I don't have a flat stomach, I jiggle when I walk, hell if I run up the stairs to fast my body claps (lmao)!! But now I see I do have the 'perfect' body!! Every roll, every curve and every stretch mark is put on me just perfect to make both of us happy!!!..

View attachment 521816

Post ya Jazzy ni viral Insta, na amesifiwa sana kwa ujasiri. Sio wote tunaweza jianika hivyo na bathing suit, halafu mwanaume yuko Fit hivyo.
Wakina kaka mtupende na spare tires zetu kama mwenzenu, mbona nyie tunawapenda na vitambi vyenu??!!!

The guy is HAWT! tho..

View attachment 521679
Sisy Naledwa kuwa Msafi(kimwenendo na Kimwili) hakuna Atayeona Mapungufu ya Mwili...
 
Kuna mwenye superdol zake tukapige picha na swimming suits

Bonny kwa ujasiri huu unaonekana una hivyo viji miraba kama mume ya Jazzy hapo juu huh!, hongera 🙂
 
Ajikute tu!! Ana mtambi wake anajiburuza nalo tangu utotoni.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ungekua humjui mungu wallah ungekua mganga wa kienyej wallah sio kwa fitna hzo
 
Ajikute tu!! Ana mtambi wake anajiburuza nalo tangu utotoni.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ungekua humjui mungu wallah ungekua mganga wa kienyej wallah sio kwa fitna hzo
 
Back
Top Bottom