Nampenda huyu Mume

Nampenda huyu Mume

Mkuu kumbuka ana watoto, miili yetu hubadilika pindi tunapo beba mimba. Na hata baada ya kujifungua hatuna guarantee miili yetu kurudia hali ya kawaida. Sio kama mtu anafurahia kuwa hivyo.
usemacho kweli nikikumbuka mama luhekelo alivyokuwa slimu, nw utazania amemeza mtungi wa gas??
 
View attachment 521673


Jazzy is one of the luckiest woman on planet kuwa na mume anayempenda kama alivyo.
Huyu mwanaume amependa kila "spare tire" mwilini mwake, kila stretch mark na jinsi alivyo bila kujali au kuona kama yeye anavutia zaidi ya mkewe.

"How could a man who was 'born fit' love someone like me! I don't have a flat stomach, I jiggle when I walk, hell if I run up the stairs to fast my body claps (lmao)!! But now I see I do have the 'perfect' body!! Every roll, every curve and every stretch mark is put on me just perfect to make both of us happy!!!..

View attachment 521816

Post ya Jazzy ni viral Insta, na amesifiwa sana kwa ujasiri. Sio wote tunaweza jianika hivyo na bathing suit, halafu mwanaume yuko Fit hivyo.
Wakina kaka mtupende na spare tires zetu kama mwenzenu, mbona nyie tunawapenda na vitambi vyenu??!!!

The guy is HAWT! tho..

View attachment 521679
anapatikana kwenye movies tu mdogowangu

uhalisia itachukua miak 30 ya ndoa kumtengeneza
 
Siwez date na mwanamke bongee hata siku 1 labda kuwe kuna vya ziada navyovipata
 
dah mapenzi ya siku hz yana sharia kibao more than zile za traffic
 
Huyo dada lakini mzuri sema tu hajiamini,ana tabasamu zuri sana na uso wenye furaha. Wanaume hawatabiriki tizama sana utofauti mara nyingi wa mke na hawara si tu wa maumbile bali hata tabia.
Beauty is in the eye of the beholder na hayo ya huyo kaka ni dunia tu inatujengea tupende watu wa hivi ndio wazuri ila mioyo ni kitu kingine na tungeruhusiwa bila kuwa judged kuolewa na tunayempenda kwa dhati bila kujali sijui elimu,kabila na upupu mwingine dunia ingekuwa kitu cha tofauti
Wanawake wenye maumbo hayo huwa wana utulivu Sana moyoni,hawana fireworks nyingi home, so bickering wives, na hicho ndio wanaume makini wanachokitaka.
 
Tehe!, nimetoa tu mfano kama mwanaume wa kuigwa jamani.
Mwanaume anayevutia kiasi hicho kuwa na mwanamke kama 'Jazzy' si rahisi sana.
Mbona hata huyo bibiye anavutia pia?
 
True, kutegemea na mazingira.
Hakuna cha mazingira hapo naongea kutokana na uzoefu. Huyo binti yuko vizuri tu tatizo lake hajiamini anadhani anapendelewa tu kwa kupendwa na huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom