Sauti ya amani Member Jul 19, 2022 41 40 Apr 13, 2023 #1 Wakuu napenda kuomba msaaada namna ya kutuma haya maombi ya ajira mpya ,je anwani za barua ni zipi?na kwa walioomba awali wanatumia mfumo upi asnth
Wakuu napenda kuomba msaaada namna ya kutuma haya maombi ya ajira mpya ,je anwani za barua ni zipi?na kwa walioomba awali wanatumia mfumo upi asnth
Superfly JF-Expert Member Jul 14, 2013 965 1,968 Apr 13, 2023 #2 Ingia kwenye site ya Tamisemi.... Anuani imeandikwa chini kabisa kwenye tangazo. Application utaifanya mtandaoni
Ingia kwenye site ya Tamisemi.... Anuani imeandikwa chini kabisa kwenye tangazo. Application utaifanya mtandaoni
Superfly JF-Expert Member Jul 14, 2013 965 1,968 Apr 13, 2023 #3 Tangazo hilo Attachments TANGAZO_LA_AJIRA_-_UALIMU_NA_AFYA_-_TAMISEMI_ APRILI, 2023.pdf 206.8 KB · Views: 35
akili akili JF-Expert Member May 5, 2014 1,704 1,049 Apr 16, 2023 #4 Msaada tutani, namjazi dogo hapa...hizi machaguo ya shule maximum ni mangapi?
niachiemimi JF-Expert Member Feb 18, 2015 3,503 4,940 Apr 16, 2023 #5 akili akili said: Msaada tutani, namjazi dogo hapa...hizi machaguo ya shule maximum ni mangapi? Click to expand... Tano
akili akili said: Msaada tutani, namjazi dogo hapa...hizi machaguo ya shule maximum ni mangapi? Click to expand... Tano