Kwanini Ajira za Posta wanataka utume maombi kwa EMS?

Tyrex

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
2,280
4,730
Habarini wakuu wana JF wenzangu, kuna hizi kazi mpya za posta zimetoka ila ukiangalia namna ya ku apply wanataka utume maombi kwa njia ya EMS haijalishi kutoka wap yani hata kama nikienda makao makuu na barua yangu lazma niiwasilishe hivo na kuna malipo ya shilingi 7000.

Hivi kweli sisi watanzania tunashida gani mbna hatuoneni huruma watoto wa masikini hana kazi bdo unamlipisha kwaajili ya kuapply ? Hivi huu mradi ni wa nani sababu haiingilii akilini kuna emails unaweza kutuma (barua pepe) au posta ya kawaida sasa wao wameamua kuweka huo mradi mkijua maelfu ya watanzania wataomba na hapo ndipo mtajikusanyia maokoto,

Hii haiko sawa kabsa na kaeni mkijua mtakuja kulipwa tu duniani au mbinguni kwa hiki mnachokifanya na ndo sababu ya kujitoa kwenye utumishi ili mpate kujikusanyia 7k za maombi ya ajira, me nawasilisha
 
Wanataka watengeneze hela kupitia huo mchakato maan kutuma kupitia EMS sio bure….! Lakini muhimu ni kufata utaratibu na vigezo na masharti yote!
 
Mkuu kuomba ajira pia ni gharama kama kusoma.

Kutuma barua kwa ems ama registered mail ni salama na uhakika zaidi kuliko kutuma kwa njia ya kawaida.

So siku nyingine pia upendelee kutumia hizo njia kama unatuma barua.

Usipende kua negative kwa kila kitu kiongozi.

Nakutakia kila la heri kwenye maombi yako ya ajira.
 
Habarini wakuu wana JF wenzangu, kuna hizi kazi mpya za posta zimetoka ila ukiangalia namna ya ku apply wanataka utume maombi kwa njia ya EMS haijalishi kutoka wap yani hata kama nikienda makao makuu na barua yangu lazma niiwasilishe hivo na kuna malipo ya shilingi 7000.

Hivi kweli sisi watanzania tunashida gani mbna hatuoneni huruma watoto wa masikini hana kazi bdo unamlipisha kwaajili ya kuapply ? Hivi huu mradi ni wa nani sababu haiingilii akilini kuna emails unaweza kutuma (barua pepe) au posta ya kawaida sasa wao wameamua kuweka huo mradi mkijua maelfu ya watanzania wataomba na hapo ndipo mtajikusanyia maokoto,

Hii haiko sawa kabsa na kaeni mkijua mtakuja kulipwa tu duniani au mbinguni kwa hiki mnachokifanya na ndo sababu ya kujitoa kwenye utumishi ili mpate kujikusanyia 7k za maombi ya ajira, me nawasilisha
Pamoja na kutumia hizo gharama barua zenu hawazisomi.
 
Fuata maelekezo....sasa ukiitwa intwrview Dodoma itakuwaje ? Pambana njia mafanikio sio rahisi....acha kulalamika pambana.....
 
Hivi hao posta saivi zaidi ya kuuza vocha za mitandao ya simu wana lipi linguine haswa wanalolifanya?
 
Huu kweli ujuha. Yaani sasa bado unataka watu watume maombi ya kazi kwa nyaraka badala ya email au online.
Hiyo EMS ya kwao hao posta, wanajua watatengeneza mamilioni kutoka kwa watu ambao hawana ajira. Na uchungu zaidi utakuta wameisha chagua wanao wataka.
 
Back
Top Bottom