Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

iv una fahamu kwamba kwenye maisha kuna watu wamefanya kila walichotakiwa kukifanya na hawajafanikiwa? Kuna vijana wana elimu nzuri na wamejaribu kila kitu ila haijawa chochote. So naamini hakuna mtu mwenye juhudi kubwa kwenye nchi hii kumzidi muendesha guta, ila matokeo ya kiuchumi je? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yacobo alienda kua chawa kwa miaka 14 kwa mjomba wake Rabani ndio akatoboa.
Yes, kuwa chawa sio tatizo Mkuu
 
Vijana baada ya kusoma uzi๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Wakiwahi dukani kuweka credit za wadogo zao shemeji na kununua vitumbua for breakfast ya baba mkwe
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nchi hii vichaa wengi sana
 
Ingekuwa kwa mwanamke ni sahihi kabisaa tena ndo wa kuitwa mke mwema, ila kwa mwanaume haifai japo tusimkandie kaona atoke vipi sasa, kabahatisha na familia ya binti ni waelewa kiaina
Jinsia zote si ni sawa au? lasivyo kampeni ife๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Attachments

  • IMG_20221226_092700_722.JPG
    IMG_20221226_092700_722.JPG
    35.9 KB · Views: 5
Hapo kwenye kumconnect na kazi kigamboni ndo pazuri,akishapata kazi atafute chumba ahame huu ujinga wa kukaa ukweni kisa mafogo ni utumwa sana.
 
Kuna watu wanajua kujipendekeza balaa ila mimi huwa siwez kabisa

Ila nilichogundua baada ya kuwaangalia mtajiri wengi ni kwamba tajiri anahitaji awe na watu wa namna hii ili kurahisisha baadhi ya mambo yake,kama kufukuzia wachuchu,kufanya umafia bila kuacha alama ukiwa na machawa haya yote unafanya kirahis

Hvyo vijana ukiona boss yupo yupo tu hana kampani jipendekeze mwsho wa siku anakuwekea fungu la kila mwsho wa mwezi au la kila siku kuliko kukaa bila kazi

Usidanganye vijana aisee, hakuna pesa ya bure. Boss akitoa pesa yake sna ujue kuna siku atataka kukula kimasihala (kufukua mtaro)
 
Usidanganye vijana aisee, hakuna pesa ya bure. Boss akitoa pesa yake sna ujue kuna siku atataka kukula kimasihala (kufukua mtaro)
Dah!,unawaza mitaro tu

Kuna watu wamefanikiwa kimaisha kwa kuwa karibu na watu waliofanikiwa

Mtu aliefanikiwa ana mambo mengi sana ya kufanya na ambayo hawez kuyafanya yote hvyo ukiwa karibu nae huwez kosa cha kufanya,mfano kuna kwenda bank kupeleka pesa na kulipia baadhi ya bills mbalimbali hz zote hufanywa na machawa
 
Dah!,unawaza mitaro tu

Kuna watu wamefanikiwa kimaisha kwa kuwa karibu na watu waliofanikiwa

Mtu aliefanikiwa ana mambo mengi sana ya kufanya na ambayo hawez kuyafanya yote hvyo ukiwa karibu nae huwez kosa cha kufanya,mfano kuna kwenda bank kupeleka pesa na kulipia baadhi ya bills mbalimbali hz zote hufanywa na machawa

Kuna utofauti wa kuwa mfanyakazi au kumsaidia boss na uchawa mkuu. Ukitambua hilo utaelewa vizuri kuwa vijana wengi siku hizi wanadhalilishwa ki maumbile sababu ya kupenda vitu vya dezo na kusifia sifia ma boss.
 
Yani ukifika huko maghorofani ni kubusu mikono ya ba mkwe kila baada ya nusu saa, sidiria za mama mkwe unazifua mwenyewe....mawigi ya mawifi ni kuyapaka mafuta muda wote yanang'aa....Mwari wangu wasipokupa connection ya Kazi UN huko, njoo uniite mbwa
Shida yote hiyo nini jamani
 
Kuna wengine ukiwafanyia hivo ndo wanakuona boya na maneno maneno kibao, kinashangazi nao wakija utaskia "huyu nae vp", kina ba mdogo watasema "huyu jamaa atakuja kuwauwa hum ndani ili arithi mali"
Yaan they'll talk every negative thing.
Chamsingi mwanaume kupambana tu uwe independent
Ndiomaana jamaa anasema ulifeli kabisa tumia hii mbinu
 
Mama Samia sasa kawatambua machawa rasmi, ni sekta mpya mjini. Mnasemaje mliomua mna diss diss๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Back
Top Bottom