Mtatiro ana papara na jazba, ni mkururpukaji, hafai kwa lolote...anajaribu kutafuta umaarufu kwa nguvu tokea huko UDSM. huko CUF aliko panamtosha.
Muulize Ziito kabwe , Alberto Msando na wengineo tuliokuwepo Ud during 2000S mtatiro was not there
Julius Mtatiro. Heshima kwako kaka yangu. Pengine ni mtizamo wangu tu. Labda nimepotoka. Vyovyote iwavyo. Lakini kwa muda mfupi niliokaa karibu na wewe. Kwa namna nilivyouona msimamo wako na mapenzi yako kwa Watanzania. Nikisikia uko CUF. Na nikifuatilia michango ya wabunge wa CUF bungeni kuhusu suala la Katiba. Naweza pata picha kuwa weledi wako upo katika majaribu makubwa. Nasubiri maoni yako.
acheni kumsakama bure mpiganaji huyu, alishajieleza vizuri sana kwenye ile thread ya awali.

kweli Chadema wapo kama mwanamke malaya kila bwana anamtaka, Cuf ni chuo cha siasa kimetoa viongozi wengi waliokwenda ccm na leo ni viongozi wakubwa, mf. Akwilombe-KATIBU WILAYA NYAMAGANA. DUNGA- KATIBU-KITETO, KINGA-KATIBU KIGOMA MJINI, CUF ni chama tofauti na chadema kina matawi na chadema kina tegemea zaidi maaskofu na mapadri, vinginevyo hamna chama.