Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Mshakuwa na mahusiano kuwa na Urafiki na amani km ulivotarajia ni ngumu wanaumewngi hukubali ilo Ili wapashe makabichi vizuri na Huo urafiki ni kutengeneza mipasuko badae utapoamua kuwa na mahusiano mengine,
 
Huh typical women, hivi kwann mnakuwa mna hio tabia, it's very frustrating....kama humtaki mtu si umwambie tuu yaishe, hayo mambo ya kuwa friends ni unafiki mtupu, you just want to take advantage of him kwa sababu unajua ana mapenzi ya dhati na ww, kwaio kwako itakuwa ni advantage kwa sababu ukimuomba akufanyie baadhi ya vitu atakuwa yuko mwepesi sana kukufanyia kwa sababu kweny akili yake anaona kama "labda nikimsaidia atani consider au anaweza akanipenda zaidi nikapata nafasi kwake" but kitu ambacho hajui ni kwamba anachofikiria ni nonsense kwa sababu humpendi na hana nafasi kweny moyo wako unampenda mtu mwingine na hutaki kumwambia, unamtumia tuu, umemuweka kweny position ambayo hujamwambia kama unampenda au humpendi, jamaa yupo hopeless tuu haelewi position yake kwa ww hujamweka wazi, unataka aendelee kuzubaa hivohivo uendelee kumtumia kwa sababu unajua ukimwambia ukweli ata move on na itakuwa ngumu sana kwako to ask him for simple favors.
Wanaume wengi tunafanyia hichi kitu na wengi wao wanakubali kwasababu hawajui tricks ambazo wanawake wanazotufanyia bila sisi kujua.
Unachojaribu kusema ni kwamba unataka jamaa awe plan "B" kwa sababu maybe unaona kuna future kwake au maybe unaona hamna future kwa unaempenda.
Kwann usimwamini unaempenda, unataka mambo yakifeli huku uamie kwingine?
Kama humpendi bac leave the at peace, mwambie ukweli aendelee na maisha yake.
Men, if a woman doesn't love you the same way as you love her, don't be her friend, she will just take you as leverage.
N A K A Z I A [emoji375]
 
Sikuzote ukweli humuweka mtu huru!
Mchane ukweli tu hata akiumia ataumua kwa muda then atakua sawa na utakua umemsaidia kuliko kuigiza!
Au just mute no message no Call no anything kama ni wa kujiongeza atajiongeza tu kuwa hii imeenda!!
 
Unapaswa kuwa muwazi kwake kama kuna vitu unaona huvipendi na havina afya kwenye mahusiano ni vema ukamuambia kuwa hiii hapana. Hivyo akiendelea kuvifanya ilihali ulishamuweka wazi. Basi unajipa nafasi nzuri.

Pia kabla ya kuingia kwenye mahusiano ni vema watu wakajipa muda wa kufahamiana.

Kwa changamoto hiyo busara ni kuongea naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi sipo nae kwenye mahusiano , na ata siwezi kumwambia kuwa tabia yako fulani ndo inanifanya nisikukubali so badilika iyo hapana kwakweli.
 
mimi sipo nae kwenye mahusiano , na ata siwezi kumwambia kuwa tabia yako fulani ndo inanifanya nisikukubali so badilika iyo hapana kwakweli.
Nimetoa ushauri huo kama mpo mahusiano. Mfano mwenzako anatabia ya kutoka na kila mwanamke,,,hutaweza kumwambia tabia hii hapana,,kuna maradhi kuna changamoto nyingi zitaketwa na tabia hiyo.

Sasa kwa vile haupo kwenye mahusiano ni rahisi sana mwambie tu kweli kuwa hapana upo kwenye mahusiano na mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nikiingia kwenye mahusiano huwa napenda kuwa muwazi kueleza kile ninachopenda na kile nisichopenda.Na hata mwenza wangu naye ni hivyo. Kwa hiyo naishi kwenye misingi ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuzote ukweli humuweka mtu huru!
Mchane ukweli tu hata akiumia ataumua kwa muda then atakua sawa na utakua umemsaidia kuliko kuigiza!
Au just mute no message no Call no anything kama ni wa kujiongeza atajiongeza tu kuwa hii imeenda!!
sawa dear
 
Daaah mwana anaenda kuvurugwa akili soon. Kipindi sijajipata trips za hapa na pale, hela za kutosha bank na chini ya driver seat. Nilipitia haya mateso.
Demu tu out of nowhere ananiambia haoni future na mimi, nimemaliza chuo, sielewi. Kuna kagari kamzee, demu namtoa ofisi niliyo mtafutia kazi mwenyewe, nampeleka kwao. Na gari ya baba. Kidume nimekaza miaka miwili sina kazi, nalala tu ndani. Demu anakuja kuniambia hivo. Niliumia mwaka mzima.
From there it was a story. Hajaolewa , hana kazi ya maaana. Na habari zangu anazo.

Binti humtaki jamaa jipange umpe sababu ya maana. Yaani go and please him that you have to move on. Usimuache kwenye mataa, ili sasa akuone ww ni mtu mwenye akili kama binadamu.
Else wise Ntakupa laana hata mimi.
 
Mkatae akikasirika ujue ulikua unaishi na mwanamke mwenzako anae endeshwa na hisia.
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Unajiita STRONG AND FEARLESS halafu unaomba msaada kwa issue za kitoto kama hivi!!???
 
Daaah mwana anaenda kuvurugwa akili soon. Kipindi sijajipata trips za hapa na pale, hela za kutosha bank na chini ya driver seat. Nilipitia haya mateso.
Demu tu out of nowhere ananiambia haoni future na mimi, nimemaliza chuo, sielewi. Kuna kagari kamzee, demu namtoa ofisi niliyo mtafutia kazi mwenyewe, nampeleka kwao. Na gari ya baba. Kidume nimekaza miaka miwili sina kazi, nalala tu ndani. Demu anakuja kuniambia hivo. Niliumia mwaka mzima.
From there it was a story. Hajaolewa , hana kazi ya maaana. Na habari zangu anazo.

Binti humtaki jamaa jipange umpe sababu ya maana. Yaani go and please him that you have to move on. Usimuache kwenye mataa, ili sasa akuone ww ni mtu mwenye akili kama binadamu.
Else wise Ntakupa laana hata mimi.

Na ndio maana nataka nikimuambie anielewe tu
 
Back
Top Bottom