Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Samahani binti kwa maswali yafuatayo:-

i.Kwani wew bdo n bikira ??

Hao wengine uliweza vp kuwakataa b4 him ?? au wote uliwakbar ila jamaa ndo ana gundu unataka kumnyima?? [emoji23][emoji23][emoji23]

ii. Kwanini ubakie na neno "Labda baadae atakuja kuwa msaada kwako"??

Kwahiyo ma-X zako hadi leo bado wana kusaidia?? Kwahyo in general huna uzoefu wa kuachana na mtu seriously??

Mm naona unaipenda asali ila unaogopa nyuki, Yaani unaupenda msaada wake lakini haumpendi akupaye msaada.
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Ulifanya kosa la kuanza naye mapenzi kabla hamjawa marafiki. Sasa hivi itakuwa ngumu sana kumwambia chochote akaelewa na bado mkabaki kuwa marafiki. Hii wanaweza wazungu ila siyo waafrika hasa wabongo. Njia sahihi ni kuchana naye mazima.
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
You are strong and fearless but you are already in fear to lose him, usimuache learn to love him mtafika mbali
 
ndo namwambiaje bila kum offend?
Kabla ya kufanya hilo jambo, kaa sehemu tulivu kisha jiambie. " Mimi ni mbinafsi"

Kwanini unawazia nafsi yako pekee yako kupata furaha na hujali kuhusu mwenzio. Najua kuna mtu atasema je kama Moyo wangu haupo kwake tena... nakuuliza ilikuaje ukamkubalia awali? Moyo ulikua wapi kabla yake?!?.

Kama umehisi hivo ndani yako amini ndio itakua lifestyle yako "holding and freeing" wala ndoa haitaweza kukusaidia. Cheating on progress.

Lastly u you want him retained/ reserved as a friend.
Probably huna idea na uzoefu ya heartbreak. Ila mwana kama nae mambo mengi wala haita msumbua. Mtapasha viporo forthcoming days.

Devil' wins his mission easily Just by simple weapon, SEPARATION/FISSION.
 
Back
Top Bottom