Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
- Thread starter
- #41
hapana hanipiNa kwanini unataka awe rafiki yako?
Au anakupa maokoto?
ila mm sipendi kujitengenezea maadui nataka niachane nae kirafiki tu
hapana hanipiNa kwanini unataka awe rafiki yako?
Au anakupa maokoto?
Tatizo wanawake hamuaminiki.Haha hapana.
Kama imefikia point unaona moyo wako haumfagilii mtu, ni mawili. 1. Step out kimya kimya, 2. Mchane ukweli
Huu ndo ukweli, ila kuna maneno mengine tena kama umeyaona ni ya kikatili.Hallelujah
Hapo atanuniwa 🤣
Hee maneno yako yamekaa kikatili.
Na hapo nimemchana kweli.Haha hapana.
Kama imefikia point unaona moyo wako haumfagilii mtu, ni mawili. 1. Step out kimya kimya, 2. Mchane ukweli
pesa anayo ila simtakiNa hili limewaponza wanawake wengi kwa kuwakataa waliokuwa hawana pesa kabla
Alikuwa ni rafiki yako ? Au mlikutana? Na urafiki ni WA muda gani?hapana hanipi
ila mm sipendi kujitengenezea maadui nataka niachane nae kirafiki tu
Tumebaki baki tunaoamininikaTatizo wanawake hamuaminiki.
Ukweli wako waweza mtoa mtu choziNa hapo nimemchana kweli.
Kwanini humtaki?pesa anayo ila simtaki
30% nyingi hivyo 0.5%Tumebaki baki tunaoamininika
Hata kama ni 30%
😃
Nduguuuu!! 🤣🤣Kwanini humtaki?
Physical appearance?
Ama nini?
Hebu tuambie tukushauri.
Umtoe kwa maana matumaini ya kumfata tena hayatakuwepo na hapo mtakuwa hamjaachana kwa ubaya hata mkikutana njiani ukiwa na shida atakusaidia.Ukweli wako waweza mtoa mtu chozi
No pls 🥹💔30% nyingi hivyo 0.5%
Ushampa papapesa anayo ila simtaki
Aisee tunataka tujue.Nduguuuu!! 🤣🤣
Ndio hivyoNo pls 🥹💔
😂😂 pita hiviiiMabahari yakike yamefika Sasa!...😂