Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Unataka kuficha vyako huku vyake uendelee kula. Ubinafsi wa hali ya juu.

Mwambie tu kuwa hamuwezani. Kila mtu ale cha kwake.
 
Mtu amewekeza kwenye upendo wa mapenzi tu na umemkataa,sasa unatak awekeze kwenye kukusaidia mambo mengine mbeleni yaani aache kuwasaidia wazazi,washkaji zake,mke na watoto akusaidie tena wewe acha tamaa wewe dada kwann usisema naweza kuja kumsaidia kwann usaidiwe wewe??[emoji119]
 
Sometimes problem is needed for development [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Mwambie kiakili tu , kiukweli nipo kwenye mahusuano tayari so kuwa msaliti siwezi ila wewe ni mtu mzuru sana and i hope ipo siku utapata wakukupenda
Si ndo imeisha hivo sasa atakekusaidiana mbeleni yakazi gani atakuwa anatamaa za mzee fisi
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Wengine uliwakataaje!?au ndio kwa mara ya kwanza umetongozwa na mwanaume usiyempenda?kwamba wote uliowapenda uliwakubari?
 
Hii inatokea ...ilinitokea Mimi..kuna mwanamke niliwekeza nguvu nyingi kwake ..tumekaa zaidi ya miaka mi4 Hana KAZI na provide kila kitu

Mwisho wa siku akaingia mitini..iliniuma saana, maana nilikuwa nishamzoea na tulikuwa tushaanza kuishi naye ..ndio tunaendelea kwenye mipango ya harusi alibadirika ghafla

Nakuondoka na zaidi ya milion 4 yangu ambayo nilipan kufunga harusi

Muda, investment ya Me kwa KE, better MTU kama anaona haufai aseme mapema kuliko kupotezea muda mwingi ..ndio maana baadhi ya wanaume wasio na kifua unakuta kafanya Jambo baya kwa mchumba wake

Just imagine mwanaume unajinyima saana, Una provide saana hela kwa mchumba wako ambaye ushamtambulisha kila mahari then mwanamke huyo anakubadirikia ghafla without any critical reason..usiombe yakukute
pole sana mkuu
 
Huna akili
 
Back
Top Bottom