Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
- Thread starter
- #141
Unatafuta amani wakati wa vita...unaitaka kuipamba vita iwe vita ya amani
Iyo sio vita kwa mtu understanding ataelewa tu
Unatafuta amani wakati wa vita...unaitaka kuipamba vita iwe vita ya amani
Kama ni hivyo we muambie tu ukweli, hamtakuwa maadui.
Ila kama unaendelea kusisitiza basi jukwaani humu tutaamini ya kuwa kuna kitu unakipata kutoka kwake, inawezekana sio pesa ila attention pia ndo maana unaona ugumu kumuacha, hutaki hasara.
We kuwa tayari tu kuishi bila yeye, kwakuwa utamwambia ukweli, muda si muda ataumia ila atakaa sawa.
Hapana mkuu unakosea. Kama humpendi mtu mweleze ukweli tu then akiendelea na usumbufu baada ya hapo unaeza lima block kumsaidia akusahau.Ningefurahi kuliko kuwa kwenye mahusiano ambayo mwenzagu namtesa hanitaki,yupo na Mimi kinafiki
Njoo pm basHivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?
Naombeni ushauri......
Sio busara kumwambia mtu eti sikupendi,hiyo kitu inaumiza sana moyo..Bora mawasiliano yapoe taratibu atazoea.Hapana mkuu unakosea. Kama humpendi mtu mweleze ukweli tu then akiendelea na usumbufu baada ya hapo unaeza lima block kumsaidia akusahau.
Akikujibu nitag.Binafsi kabla ya kutoa ushauri labda niulize hujaona future kwake kwa muktadha upi?
Umekuwa kwenye mahusiano naye na unaina dalili hazisomi? Au ameomba kuwa kwenye mahusiano ndo unataka kuamkataa?
Na je ni kwasababu mambo yake hayajakaa sawa anajitafuta ? Au mambo yake yapo sawa ila bado anamaliza ujana..Ukitoa majibu hayo naweza jaribu kushauri kiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kushikilia hio dhana, sawa do whatever you like.Ila atanichukia
Binafsi kabla ya kutoa ushauri labda niulize hujaona future kwake kwa muktadha upi?
Umekuwa kwenye mahusiano naye na unaina dalili hazisomi? Au ameomba kuwa kwenye mahusiano ndo unataka kuamkataa?
Na je ni kwasababu mambo yake hayajakaa sawa anajitafuta ? Au mambo yake yapo sawa ila bado anamaliza ujana..Ukitoa majibu hayo naweza jaribu kushauri kiti
Sent using Jamii Forums mobile app
What happens to forever till death do us part swtieee?Kama ulikubali mwanzo Sasa unataka umwachie nae huyo boya mwenzio kazana mapenzi sio masihara.
bana sio kwa namna hio... na wakat anampa namba alitegemea nin... We toa njia ambayo ni salama kwa uyo boy ili asjiskie vibaya... Bana wewe unatoa ushaur wa kumfanya akonde... welcome again...Ningefurahi kuliko kuwa kwenye mahusiano ambayo mwenzagu namtesa hanitaki,yupo na Mimi kinafiki
kujiamini ni necha ya mtu... Au labda ubadilishwe na mazingira...Kutoweza kufanya maamuzi ndiko ushetani wenyewe huo....
Hivi shule hamkufundishwa KUJIAMINI?!!!
Desperate human beings....
...njia salama kabisa... Ni wewe msichana kupata kazi ya kutafuta msichana ambae ni pini zaid yako... Then fanya ufanyavyo uwakutanishe... Alaf after few days wivu unaanza... "imeisha iyo"
Huo ndio ulikuwa ushauri wa Upendo yaani...Haya ngoja nimpe wa kumuumiza,awe anamuomba sana Hela bila kumpumzisha yaani mperampera...unaanza na gesi Imeisha,akisolve amwambie Kodi Imeisha,kabla hajalipa Kodi anajitafutatafuta amwambie mdogo wake kafukuzwa ada,hapo awe anamuomba Hela za kusukia na za chakula,halafu kabla hajakaa sawa shangazi afariki kijijini pamoja na mama ameze shoka.....hapo vipi mwamba atatoboa Kweli?apo lazima aage mashindano😁😁bana sio kwa namna hio... na wakat anampa namba alitegemea nin... We toa njia ambayo ni salama kwa uyo boy ili asjiskie vibaya... Bana wewe unatoa ushaur wa kumfanya akonde... welcome again...
Ndio mkuu 😂Kesho ni alhamisi cio [emoji28]
usimuulize...Kama akikubali ntamtafutia tu