Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Yana muda basi, ushamkataa mwambie mwamba ukweli yaishe, mwanzo atajisikia vibaya lakini atapona.
Hayo unayotaka kuleta ya urafiki tu nishaona kuna shida mahala, yaani huko uliko yakibuma ndo uje ujirudishe kwa mwamba????
Mimi ukinikataa biashara na wewe imeisha, habari za urafiki sihitaji, kama ni marafiki wapo wengi.
 
ku ghost mtu siwezi am not that kind of a person nataka niwe mkweli bila kum offend
Basi mwambie tu neno hili " Habari yako XXX, nataka nikuambie naomba tuachane(kama mko kwenye mahusiano) maana sikupendi na sijataka kukupotezea muda na sivutiwi na wewe".

Tuma hii text WhatsApp ama normal text
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Tatizo wanawake wa siku hizi mko kama double agent.

Hapa humtaki lakini msaada wake unautaka.

Msaada zaidi mnaangalia ni pesa...sorry...fambaf sana
 
Back
Top Bottom