Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Namkataaje mwanaume nisiempenda?

usimuulize...
we cha kufanya jitahidi ujue kama kakupendea :-
-figure,
-tabia, au
-upambanaji wako

then tafta mwanamke ambae unaona kakuzidi vyote...

note: USIMUULIZEEE...

Fanya kumfanya azoeane na uyo dada... "Kama utakuwa hutaki aumie lakn kama ulivosema awali"

Sawaa
 
Huo ndio ulikuwa ushauri wa Upendo yaani...Haya ngoja nimpe wa kumuumiza,awe anamuomba sana Hela bila kumpumzis
[emoji15] sasa hapo bana... kwani wew ni kitu gani ukifanyiwa utaridhia kuachwa peacefuly
NOTE: "HAKI SAWA KWA WOTE"
 
Mambo yako Sawa ila ujana unamsumbua
Yani we are not compatible
Sio yule mwanaume ninaemtaka mm in short so bora niwe nae friends tu he is funny though🥹[emoji23]
Unapaswa kuwa muwazi kwake kama kuna vitu unaona huvipendi na havina afya kwenye mahusiano ni vema ukamuambia kuwa hiii hapana. Hivyo akiendelea kuvifanya ilihali ulishamuweka wazi. Basi unajipa nafasi nzuri.

Pia kabla ya kuingia kwenye mahusiano ni vema watu wakajipa muda wa kufahamiana.

Kwa changamoto hiyo busara ni kuongea naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Unampa kwanza akugonge
 
Kauli yako inaonyesha tayari uko nae, na kama uko nae uliwezaje kua nae ilihali hukumpenda? Yaani kizazi cha kike cha 24yrs mna shida kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
🤔
 
[emoji15] sasa hapo bana... kwani wew ni kitu gani ukifanyiwa utaridhia kuachwa peacefuly
NOTE: "HAKI SAWA KWA WOTE"
Hakunaga kuachwa peacefully my dear....kuachwa ni kuachwa tu,kunauma....
Ila Mimi Kwa experience yangu ya kimahusiano mpenzi niliyeachana nae Kwa mawasiliano kudorora tuna amani sana ,huyu anaweza hata akakupigia kukusalimia ama kukupa connection ya biashara unazofanya,ila yule aliyenifanyia vitimbi huyo ni vita ni vita Mura
 
[emoji23]ila mahusiano hayatabirikag kwakwel... Kila mtu na mtazamo wake... Kama unavyopenda kutoka moyon bila kushauriwa na mtu... Vivyo hivyo hutakiwi kupata ushauri kutoka kwa mtu yeyote... japo sio kwa mambo yote yanayotokea katika mahusiano...
 
Nilishawai kuwa victim wa hii kitu... Mwenzangu alikuwa anajitaid kunikeep kwa sababu ya msaada wangu kwake....

Mwambie tu ukwel usimpe matumain ya uongo na blabla... Kama akiendelea kukutafuta awe anajua what next japo mimi nilikomaaa muda mrefu kwel ila mwisho wa siku niliona ni ujinga nikaamua kufata mambo yangu
 
Toa namba yake chap [emoji848]tukusaidie kumpa taarifa
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Kama kuna gharama zozote alizowahi kuingia kwa ajiri yako. Jichange mrudishie pesa halafu mwambie ukweli then kata mawasiliano kabisa yaani don't expect/ask for anything in future
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Yaani humpendi lakini unataka muwe friends tu kwa kutegemea atakuja kukusaidia in future! Kweli wanaume tumeumbiwa mateso
 
Unataka umuweke kiporo ili ukifikisha miaka 34 huna mchumba na ushazalishwa umkubalie?
Hapo ndipo wanapojichanganya! Hizi ndio pisi za siku hizi zinazoendekeza mawasiliano mpaka na ma ex kwa kigezo cha kuachana sio uadui. Nachukiaga sana wapumbav hawa!!!
 
mwambie laiv kabla hajawekeza nguvu kubwa kwako na maanisha ya kisaikolojia na kiuchumi,kwanini usimwambie ukweli je wewe katika maisha yako unapenda kupotezewa mda?
 
Muite kwa jina lake…

Kisha mwambie.. I see no future btn me and you. Hayo mambo ya hujui kesho ni nini, em tulia. Kesho ni Alhamis.
Simple as that.
Usijichekeleshe na emoj.
IMG_20191019_155514.jpg
 
what

if nikaja miaka ya baadae nikakutana nae alaf yy ndo akawa ndio wa kunisaidia alaf uku nilimuacha kwa ubaya?

Unataka kusaidiwa nini na Ex wako?

Nyie ndo mnafanya wanawake tunaitwa cheap..

Mwambie tu unachojisikia au mfanye akufanyie makosa
Uachane nae kwa makosa yake..
 
hilo haliwezekani kamwe tena
ni hatari kwa afya na maisha yako.
unamkataa then kisha awe rafiki yako tu!

Labda Mwanaume suruali lakini Mwanaume Kamili usithubutu.

kama unaacha acha kabisa nenda utokomee na usirudi wala kimsogeleasogelea....alaa..
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
 
Muombe akukopeshe milioni 10 akikataa nawe mnyime papuchi,baada ya muda kupita mtabaki marafiki japokuwa naye atamind kiaina.
Sasa binti haja zako za mwili nani atakuwa anakutoa?
 
Back
Top Bottom