Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Namkataaje mwanaume nisiempenda?

wala sio unavodhani
na siwezi change my name [emoji23]
Ninavyojua mwanamke kumuacha mwanaume huwa haulizi mara mbili ni kitu cha dakika chache unawekwa kwenye ingore and block list,sisi wanaume ndiyo tunakuaga na huruma kumuacha mwanamke kwa kuwa tunaogopa msijidhuru,ila nyie hamjali ilo,

Kwako wewe hii imekuaje kwako inawezekanaje au unatu-enjoi tu hapa.
 
Namkataaje mwanamke nisiempenda?!!ukiona call yake unatamani umblock ukilala nae nimzungu wa 4?
 
Ninavyojua mwanamke kumuacha mwanaume huwa haulizi mara mbili ni kitu cha dakika chache unawekwa kwenye ingore and block list,sisi wanaume ndiyo tunakuaga na huruma kumuacha mwanamke kwa kuwa tunaogopa msijidhuru,ila nyie hamjali ilo,

Kwako wewe hii imekuaje kwako inawezekanaje au unatu-enjoi tu hapa.
mimi nina huruma pia alaf najaribu kujiweka kwenye nafasi yake
 
Mwambie moja kwa moja kuwa yeye sio chaguo lako.
Nb . ukiona humtaki mtu kutoka moyoni halafu unashindwa kumtamkia kwa kuhofia future yako ,jua una vinasaba vya tamaa.
It is either ,on or off !
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......
Huh typical women, hivi kwann mnakuwa mna hio tabia, it's very frustrating....kama humtaki mtu si umwambie tuu yaishe, hayo mambo ya kuwa friends ni unafiki mtupu, you just want to take advantage of him kwa sababu unajua ana mapenzi ya dhati na ww, kwaio kwako itakuwa ni advantage kwa sababu ukimuomba akufanyie baadhi ya vitu atakuwa yuko mwepesi sana kukufanyia kwa sababu kweny akili yake anaona kama "labda nikimsaidia atani consider au anaweza akanipenda zaidi nikapata nafasi kwake" but kitu ambacho hajui ni kwamba anachofikiria ni nonsense kwa sababu humpendi na hana nafasi kweny moyo wako unampenda mtu mwingine na hutaki kumwambia, unamtumia tuu, umemuweka kweny position ambayo hujamwambia kama unampenda au humpendi, jamaa yupo hopeless tuu haelewi position yake kwa ww hujamweka wazi, unataka aendelee kuzubaa hivohivo uendelee kumtumia kwa sababu unajua ukimwambia ukweli ata move on na itakuwa ngumu sana kwako to ask him for simple favors.
Wanaume wengi tunafanyia hichi kitu na wengi wao wanakubali kwasababu hawajui tricks ambazo wanawake wanazotufanyia bila sisi kujua.
Unachojaribu kusema ni kwamba unataka jamaa awe plan "B" kwa sababu maybe unaona kuna future kwake au maybe unaona hamna future kwa unaempenda.
Kwann usimwamini unaempenda, unataka mambo yakifeli huku uamie kwingine?
Kama humpendi bac leave the at peace, mwambie ukweli aendelee na maisha yake.
Men, if a woman doesn't love you the same way as you love her, don't be her friend, she will just take you as leverage.
 
Umeona mbali sana hata mimi nimeona hilo.
Yaani kuna kitu anahofia atakikosa.
 
Mimi wala sitaki kutake advantage sitaki tu tuwe maadui that’s it
 
Kama ni hivyo we muambie tu ukweli, hamtakuwa maadui.

Ila kama unaendelea kusisitiza basi jukwaani humu tutaamini ya kuwa kuna kitu unakipata kutoka kwake, inawezekana sio pesa ila attention pia ndo maana unaona ugumu kumuacha, hutaki hasara.

We kuwa tayari tu kuishi bila yeye, kwakuwa utamwambia ukweli, muda si muda ataumia ila atakaa sawa.
 
Back
Top Bottom