Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Namkataaje mwanaume nisiempenda?

Sikuzote ukweli humuweka mtu huru!
Mchane ukweli tu hata akiumia ataumua kwa muda then atakua sawa na utakua umemsaidia kuliko kuigiza!
Au just mute no message no Call no anything kama ni wa kujiongeza atajiongeza tu kuwa hii imeenda!!
Haujamuelewa mwenzako. Ugumu sio kumuweka wazi jamaa ugumu ni kwamba akifanya ivyo kuna favour ambazo anazipata au ana matarajio ya kuzipata kutoka kwa uyo mwanaume atazikosa
 
Muite kwa jina lake…

Kisha mwambie.. I see no future btn me and you. Hayo mambo ya hujui kesho ni nini, em tulia. Kesho ni Alhamis.
Simple as that.
Usijichekeleshe na emoj.
😂😂😂 aiseee nimecheka!
 
Kwani umeshakula vyake?

Labda ameshakugharamikia kwenye mambo kadha wa kadha pengine?

Kama ndivyo kuwa makini! Labda awe zoba.

Kamba haichiwi ukiwa juu , Shuka polepole hadi ufike chini ndipo uiachie.
 
...hahah kwamba humpendi afu unataka awe rafk ako... Inakuaje mtu humpendi jamani tena unataka... dah!... muulze INSIDER MAN Akupe mbinu tunazotumiaga sis wanaume kuwakataa kiaina... Afu ufanye kuzichange ziwe opposite...
Anataka HELA tu Ila utamu hatak kutoa
 
Ulishafanikiwa kumwacha au bado, niongeze ushauri na mimi
 
Haujamuelewa mwenzako. Ugumu sio kumuweka wazi jamaa ugumu ni kwamba akifanya ivyo kuna favour ambazo anazipata au ana matarajio ya kuzipata kutoka kwa uyo mwanaume atazikosa
Ahaa hapo huyo anataka friends with benefit!
 
mwambie laiv kabla hajawekeza nguvu kubwa kwako na maanisha ya kisaikolojia na kiuchumi,kwanini usimwambie ukweli je wewe katika maisha yako unapenda kupotezewa mda?
Hii inatokea ...ilinitokea Mimi..kuna mwanamke niliwekeza nguvu nyingi kwake ..tumekaa zaidi ya miaka mi4 Hana KAZI na provide kila kitu

Mwisho wa siku akaingia mitini..iliniuma saana, maana nilikuwa nishamzoea na tulikuwa tushaanza kuishi naye ..ndio tunaendelea kwenye mipango ya harusi alibadirika ghafla

Nakuondoka na zaidi ya milion 4 yangu ambayo nilipan kufunga harusi

Muda, investment ya Me kwa KE, better MTU kama anaona haufai aseme mapema kuliko kupotezea muda mwingi ..ndio maana baadhi ya wanaume wasio na kifua unakuta kafanya Jambo baya kwa mchumba wake

Just imagine mwanaume unajinyima saana, Una provide saana hela kwa mchumba wako ambaye ushamtambulisha kila mahari then mwanamke huyo anakubadirikia ghafla without any critical reason..usiombe yakukute
 
We ni sitak, nataka..

Mueleze tu uhalisia, maamuzi ni juu yake.. sie wanaume huwa hatuna nongwa tukikataliwa... Kwanza ukileta habari za urafiki na umekataa tunaamini huyu ataliwa muda wowote.
 
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio mapenzi)?

Naombeni ushauri......

Mwambie tu hauko tayar kuwa kwny mahusiano kwa sawa ,
 
ku ghost mtu siwezi am not that kind of a person nataka niwe mkweli bila kum offend
So umuambie me and you we can't work together in a relationship
Unafikiri ni kumu offend? Hata ukitumia lugha gani lazima kama alikua anakupenda ataumia na itaisha
Ninachoona wewe hapa kuna jamaa unamuelewa lakini una mashaka nae kwamba anaweza kukuacha ila unayemuacha anakuelewa na unajua ni mtu anayejitambua so unaulizia mbinu za kumhold ili ukizinguliwa urudi kwake

Wanawake hua hamjua mnacho taka kwenye mahusiano

Hata mimi kuna single mama mmoja naingia tu chuo siku ya kwanza nimevutiwa nae nikachukua mawasiliano akaja kuniambia anataka urafiki kumbe lengo niwe namsaidia pesa akiwa na shida na tine hiyo ana jamaa ake
Anamalizia chuo kajazwa mimba mwaka jana hadi leo anataka nimuoe na mwanae anasema "wewe ndio ulikua unanipenda ni ujinga tu na utoto ulikua unanisumbua"
 
Ana hela
Haoni future nae
Hampendi
Hataki kumkasirisha
Badae anaweza kuwa msaada

Tuliosoma Cuba tumeelewa
Huyu demu mwenzenu kashachanganywa na msela mavi mmoja ambae anaona hana future yotote mbele yake ila anataka awe nae tu na muda huo alienae sasa hivi anaona ana future na vision ya maisha anataka kumuacha ila anashindwa sababu anahisi mbeleni ataachwa na anaemkimbilia ili amrudie jamaa kwahiyo hata anatafuta mbinu za kumhold huyo mchizi

Hebu mshaurini yuko kwenye state ya ukichaa wa mapenzi
 
Huyu demu mwenzenu kashachanganywa na msela mavi mmoja ambae anaona hana future yotote mbele yake ila anataka awe nae tu na muda huo alienae sasa hivi anaona ana future na vision ya maisha anataka kumuacha ila anashindwa sababu anahisi mbeleni ataachwa na anaemkimbilia ili amrudie jamaa kwahiyo hata anatafuta mbinu za kumhold huyo mchizi

Hebu mshaurini yuko kwenye state ya ukichaa wa mapenzi
Kwa kichwa yake ilivyo .....
Akubali tu wote wamtafune kwa wakati wake.
 
sijawahi kudate nae
Sasa kama hujawahi kudate nae shida nini?
Unamuacha kwenye mlengo upi? Manake ni rafiki yako tu? Kwa sababu umesema unataka awe rafiki yako tu na sasa hibi umesema ni rafiki yako tu Hivi unaweza kumuacha rafiki yako ili awe rafiki yako tu? [emoji23][emoji23][emoji23]
We nae unatuchanganya kweli unataka tuchanganyikiwe kama vile ulivyochnganyikiwa wewe kwenye swala la uwe na nani
 
Back
Top Bottom