Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Mkuu gfsonwin mimi ninakuliza Swali je unaye M-miss ni Mume wako au Mpenzi wako au Baba watoto wako?Na yupo wapi? yupo mbali na wewe ? na kwanini yupo mbali na wewe? ninaomba majibu ingawa kuna watu wawili umewakataza wasi Comment mimi nina ku Comment unasemaje Mwalimu wangu?

mbona mada imejieleza jamani??? hebu isome upya mada yangu utaona namsemea nani. ila kwa faida yako naomba ninsemiss sana nyong mkalia ini wangu, mahabuba wangu, msiri wangu, mwandani wangu, mzuri wangu, honey wangu, sweetheart wangu, baba wa watoto wangu, mume wangu, laazizi wangu.

Ndio yuko mbali sana na mm, na yupo mbali kwasababu ya maisha tu, na ni kwa muda mrefu kidogo ila Mungu akipenda basi naamin atamaliza kilichopeleka na kurudi nyumban salama.
 
Hehehe, asante mwaya. Ntakuja alfajiri hii kunywa uji kwanza. I hope una sukari.

uji una sukari na maziwa japo ya unga sina ila ya ng'ombe wa kukamua bandani sikosi, au hata nazi tu.
 
ha ha ha haaaa, namuogopa kwa kweli.

Mtu mmoja anasutana na mkoa mzima, afu hadi anawaua kwa maneno tu?
sasa wewe unaogopa harufu tu ya maiti wakati uko mochwari vp wewe??
huyu mwenyewe aliogopa na akaamua kuondoka na kurudi na ID fake nayo nikamtimua nayo
ngoma yangu mimi si ya kitoto hii inaweza kesha for yrs aisee. mbona sasa hivi hafurukuti??
 
gfsonwin miaka 1o? mie hata kukaa na demu mwaka nahisi kuugua,,, hongera zako afu unammiss, daaah natamani ningekuwa namisiwa mimi heheheeeee
 
Last edited by a moderator:
mmmmhhhhhh!I hope this is real
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.

sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.

usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!

seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.

jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.

Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!
 
gfsonwin miaka 1o? mie hata kukaa na demu mwaka nahisi kuugua,,, hongera zako afu unammiss, daaah natamani ningekuwa namisiwa mimi heheheeeee

hahahahahh! sasa unategemea nini kama huwez kukaa na gf mwaka?? huon kwamba hutaweza kuoa tena??
 
Heeh, basi pika uji wa nazi kama jana mliangua nyingi. Na mie nijifunze paw wangu asije akaenda kunywa uji (soma kikurya) wa nazi kwa da sophy afu akahamia. Ntaishije mjini, mume ndo mtaji atii
uji una sukari na maziwa japo ya unga sina ila ya ng'ombe wa kukamua bandani sikosi, au hata nazi tu.
 
In social media things changes dramatically when private life becomes no longer private and the world no longer a secure place

you missed your lovely husband.. That's too personal i guess...but u posted it to the public and now it turns to be our business...

No comment my dear...pia hongera kwa 11yrs of successful marriage life...may our almighty god/allah grants you n ur family a million years ahead.
 
......Mwenyezi Mungu akujaalie moyo wa ustahimilivu katika hili......atarudi tu my dear na mtakuwa na furaha tele!
 
Halafu mie leo ndo ninaujio....

Yaani nimemwonea huruma sana huyu teacher gfsonwin....

Mie inapofikaga 30days...nahisi dunia imesimama....

Sasa huyu amekata 30days x 12......it is too much kwa binadamu wa kawaida ambaye haumwi... na anajilia maprotini ya kutosha....

Babu DC!!

Hapo hekima za kina Babu ndipo huwa zinachukua nafasi yake
 
sasa inategemea na lkn babu manake assume labda mtu yuko masomoni ama kwenye kazi maalum utafanyaje??


halafu babu ungejua hapa sitanii wala sifanyi mzaha mwenzio
niko very serious na najaribu kuona naeza kusaidiaje hali iliyopo manake nikijifkiria mm niwafikirie na wanangu pia

Ni kweli kabisa teacher....

Ila hata kama mtu yuko masomoni, kuna wafadhili wengine hutoa ticket ya kutembelea familia au kutembelewa na mama watoto walau mara moja kwa mwaka....Kama haiko hivyo, basi wahusika hujibana ili wawezi kufanya hivyo....

Hapo kwenye blue....naamini hata watoto hawana hamu ya kuwa na mama chizi....

Any attempt ni kwa faida yao pia..

Babu DC!!
 
Umenikumbusha ngoma ya sijui ndo Msondo wale?!

...ukiona mtu mzima maama, analia mbele ya watu ujue kun jambooo!!
 
babu ila cha moto nakiona mweeee
Nashukuru hujanitag wala kunimenshen kwenye hii thread. Mi huwa nasikitikaga sana. Kukimisi kitu unachokipenda, ni afadhali ukipate unachokichukia.

Ngoja nikakamate ginis yangu mie. Kuliko nikose Guiness ni afadhali nikose choo cha kumwagia kojo.
 
Ukisema hivi bwana unawaacha watoto wanaelea hewani....

Kwa zaidi ya muongo mmoja, teacher gfsonwin huwezi kusema umekosa kalufundi ka kukusaidia kumalizana na hayo ma-tention...

Ngoja niwaite wakubwa wenzangu hapa tusaidiane.....

Cc.. Bishanga, Asprin, Nyamayao, @FP, snowhite....

Babu DC!!
Mzee mwenzangu, hii ni Kwaresma. I reserve my comment. LOL
 
Mume ni mtamu sana! Uzi ni ule ule gfsonwin, mpaka mwisho wa maisha yetu! Am soooo proud of u, na hakuna kurudi nyuma! Ndoa zetu kwanza, familia kwanza, mume ni second from none! I luv my hubby!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom