Kama ni msomaji wa JF hata kama ni member ni rahisi sana kuunganisha dots.
So natumaini atapata muda wa kuona upendo mkubwa wa sweetie wake.
My shem baba Klein, mimi naitwa Kaunga (sio Da Sophy) hope to know you in the near future ofcourse your sweetie akiniruhusu! Lol
nafkri mfano wako ni sawa lkn sio sahihi kwa application uliyoitoaParokia haikosi Vigango ili kusaidia pale askofu anaposafiri nje ya parokia basi padri toka kwy kigango anakuja kushika nafasi hadi atakaporudi ikiwa ni pamoja na kuendesha misa plus kugawa sakramenti.
Tafuta Kigango dada kiongoze Parokia hadi mista atakaporudi.
Parokia haikosi Vigango ili kusaidia pale askofu anaposafiri nje ya parokia basi padri toka kwy kigango anakuja kushika nafasi hadi atakaporudi ikiwa ni pamoja na kuendesha misa plus kugawa sakramenti.
Tafuta Kigango dada kiongoze Parokia hadi mista atakaporudi.
Hana issue yoyote na ticha; ticha aliamua kuwa 'the voice for the voiceless' tu.
Napenda kumcharua tu my friend gfsonwin, wote tukiwa nice to her itaboa bwana!
Daaaaah
Huu ni ushauri pekee ulio nao?
loya wangu Ruttashobolwa watu kama hawa unatakiwa kuwapotezea tu.
so far hata babu Dark City huwa anasemaga wakati ni ukuta so mwache aseme akikua ataacha
babu bana hii dawa yake haiwez patikana hapa banaMie sina tatizo naye kwa kweli...
Unaweza kuishi bila kuwa na mtu hata mmoja wa kukuchokoza??
Ngoja mie nimtafute mkubwa mwenzangu snowhite tufanye mahesabu ya harambee...
Naona mtu bado analia maumivu......bila tiba sahihi tunaweza kuongea lugha isiyotamanisha soon...
Babu DC!!
athubutu kumgusa aone chezeya baunsa weye.
Yaani umefanya nimuulize wife kama niyeye ameandika huu uzi kwani namimi nammisi sana kwani ni miaka zaidi ya miwili natafuta maisha nchi za watu na yeye analea watoto TZ
OOH I MISS HER TOOOOOOOO