Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Mume ni mtamu sana! Uzi ni ule ule gfsonwin, mpaka mwisho wa maisha yetu! Am soooo proud of u, na hakuna kurudi nyuma! Ndoa zetu kwanza, familia kwanza, mume ni second from none! I luv my hubby!

thanks hny. love you soo much my swthrt.
BTW zanzi tamu khaaa! hope wkend hii tutajipepo raha tena.
 
cacico habari yako! Hongera sana!
Mume ni mtamu sana! Uzi ni ule ule gfsonwin, mpaka mwisho wa maisha yetu! Am soooo proud of u, na hakuna kurudi nyuma! Ndoa zetu kwanza, familia kwanza, mume ni second from none! I luv my hubby!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.

sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.

usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!

seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.

jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.

Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!

Kuna siku nilisoma mahali wanasema wanawake wa Italia ndio wako romantic kuliko wote duniani.

Mimi NAKATAA.

Hii degree ya romance ni KUBWA SANA, waitaliano hawaoni ndani hata robo.

Bongo kuna vitu romantic jamani, we acha tu...
 
kuna siku nilisoma mahali wanasema wanawake wa italia ndio wako romantic kuliko wote duniani.

Mimi nakataa.

Hii degree ya romance ni kubwa sana, waitaliano hawaoni ndani hata robo.

Bongo kuna vitu romantic jamani, we acha tu...

am speechless....................
 
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.

sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.

usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!

seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.

jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.

Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!

hapo kwenye red, sikweli
 
sabal kheri hubby! Upo hubby wangu?? Salamu kama nyota za angani zikufikie hapo fyatanga!
Oh! am humbled. Najua unajua jinsi navyokupenda na najua unajua jinsi navyoteseka kwa kukumisi. Najua unajua.

With lots of love:A S-heart-2:

ODM
 
Sasa mzee mwenzangu,

Hayo maandiko gani unatumia??

Yaani ng'ombe wako yuko ndani ya shimo, nawe unamwachamo eti kwa kuwa ni sabato??

Sie bora tuokoe maisha kwanza....

cc: snowhite, Kaizer..

Babu DC!!
Hahahaha, tatizo mzee mwenzangu, huyu mhanga mwenyewe ni mkongwe tena kungwi mzoefu. Kungwi aliyebobea. Nini shimo, huyu ni mwerevu anayeweza kujitoa kwenye handaki.

Lwa muktadha huu, acha niendelee kufunga na kutubu.
 
inafurahisha na kupendeza kwa anaye missiwa. Nilipofungua hii thread nilidhani umeandika umemiss x wako.
Mapenzi kama virusi vya ukimwi hayaeleweki
Wakati huyu ana mmiss mmewe yule ana mmiss bf wake wa zamani.
Wakati huyu anaingia yule anatoka.
Wakati huyu kanogewa huyu kayachoka.

Happy masikitiko day....
Gfsonwin I like you
 
::
Gfsonwin usilie mama
Najua wampenda sana,
Hakupenda kukuacha,
Ubaki pekee mama,
Shida na tabu za dunia,
Hufanya watu kutengana,
::
Safari mlionayo ndefu,
Dumishineni uaminifu,
Ndoa yenu iwe tukufu,
Utafuteni utakatifu,
Mungu nae atawasifu.
::
Umbali ndio kipimo,
Cha uzito wa upendo,
Utapata hisia mchomo,
Dirishani macho kodo,
Ukimsubiri wa moyo,
Usiwatafute zimamoto,
Uaminifu huleta tuzo.
=
 
Tetra umeandika mashairi nkajua Rutashobolwa mazee!

asante sana mkuu,
ngoja nijitahd kuzoea hali hii.
 
Back
Top Bottom