Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

babu bana hii dawa yake haiwez patikana hapa bana
manake kila mwili unapoitikia vichocheo kazi inazidi kuwa ngumu na ng'ombe anakaribia kudondshwa kibla.


Kwani nani kasema dawa iko jirani...ingekuwa hivyo mbona hii hadithi wala isingekuwepo...

Halafu unadhani harambee ya mdogo wetu snowhite ya nini??

Wewe timua haraka ukawahi mchuma bwana...tunao vichaa wa kutosha mjini...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani umefanya nimuulize wife kama niyeye ameandika huu uzi kwani namimi nammisi sana kwani ni miaka zaidi ya miwili natafuta maisha nchi za watu na yeye analea watoto TZ

OOH I MISS HER TOOOOOOOO

Eti nini??

Two years? au masikio yangu yameshatenguka kiuono kwa sababu ya uzee??

Duniani kumbe kuna watu wameundwa kwa stainless steel...

Babu DC!!
 
Kwani nani kasema dawa iko jirani...ingekuwa hivyo mbona hii hadithi wala isingekuwepo...

Halafu unadhani harambee ya mdogo wetu snowhite ya nini??

Wewe timua haraka ukawahi mchuma bwana...tunao vichaa wa kutosha mjini...

Babu DC!!

sasa babu unadhani naweza kupata kichaa kwa hali hii??
mi mwenyewe sijielewi nipo tu kama vile nasubiri saa ya kutoka shule
 
Eti nini??

Two years? au masikio yangu yameshatenguka kiuono kwa sababu ya uzee??

Duniani kumbe kuna watu wameundwa kwa stainless steel...

Babu DC!!
babu kwani huwez kufikisha hiyo??
mbona mm natakiwa nikae miwili zaidi ya huu mmoja??
 
Mwenyez mungu awajalie penz lenu lizid kuchipua cku hadi cku. mwomben mungu sana awatetee na awaongoze zaid ya hapo mlipofikia
 
babu kwani huwez kufikisha hiyo??
mbona mm natakiwa nikae miwili zaidi ya huu mmoja??

Kwani mtu yuko jela kiasi kwamba huwezi kumtembelea??

Hebu acheni utani bwana,

Mie miezi mitatu tu, nilikaribia kuvunja mkataba...

Cha kufia nini wakati maisha yenyewe mafupi?


Babu DC!!
 
sasa babu unadhani naweza kupata kichaa kwa hali hii??
mi mwenyewe sijielewi nipo tu kama vile nasubiri saa ya kutoka shule

Hebu basi acha mchezi basi teacher.....

Maumivu ya kichwa huanzaje kwani??

Usijekusema kuwa sikukwambia...

Babu DC!!
 
Kwani mtu yuko jela kiasi kwamba huwezi kumtembelea??

Hebu acheni utani bwana,

Mie miezi mitatu tu, nilikaribia kuvunja mkataba...

Cha kufia nini wakati maisha yenyewe mafupi?


Babu DC!!

sasa inategemea na lkn babu manake assume labda mtu yuko masomoni ama kwenye kazi maalum utafanyaje??

Hebu basi acha mchezi basi teacher.....

Maumivu ya kichwa huanzaje kwani??

Usijekusema kuwa sikukwambia...

Babu DC!!
halafu babu ungejua hapa sitanii wala sifanyi mzaha mwenzio
niko very serious na najaribu kuona naeza kusaidiaje hali iliyopo manake nikijifkiria mm niwafikirie na wanangu pia
 
he he he, nakupa mbinu za medani.
Tumia mbinu za merekani, unawapiga afu unawapa mikate.

Sasa na ww uanze kupayuka mlengwa akusukie bure.

Upande upi niliotoa msaada Kongosho na wewe....yaani raha yako uharibu move sasa ngoja nikuharibie kwam zombie lako
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ana hila
sijasogeza goli lolote.

Kaizerrrrrrrrrrrrrrrrrr niii lakini!
ninilakini kunistua moka najikwaa!
nini kinaendelea kwani!
ati umesema Kongosho anasogeza goli?
lol!babu kapimia mita moja anakuta nne matokeo yake atafunga?
cc The Boss ndo mtaalam wa haya makitu aje haya apime hili goli limesogezwa au la.
 
Last edited by a moderator:
tuchokozane?

Nataka nikung'oe mvi kwenye ndevu.

Mie sina tatizo naye kwa kweli...

Unaweza kuishi bila kuwa na mtu hata mmoja wa kukuchokoza??

Ngoja mie nimtafute mkubwa mwenzangu snowhite tufanye mahesabu ya harambee...

Naona mtu bado analia maumivu......bila tiba sahihi tunaweza kuongea lugha isiyotamanisha soon...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
🙂 🙂 🙂 hiyo sentensi ya mwishi nimependa.
Bibi akisafiri tu, nakuja kukaa kwenu.

Kwani mtu yuko jela kiasi kwamba huwezi kumtembelea??

Hebu acheni utani bwana,

Mie miezi mitatu tu, nilikaribia kuvunja mkataba...

Cha kufia nini wakati maisha yenyewe mafupi?


Babu DC!!
 
Imekaa vyema! Hongera sana kwa kufunguka! Ama kwa hakika inawezekana ni kuamua tu! Vumilia dada siku hazigandi.!
 
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.

sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.

usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!

seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.

jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.

Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!
Mkuu gfsonwin mimi ninakuliza Swali je unaye M-miss ni Mume wako au Mpenzi wako au Baba watoto wako?Na yupo wapi? yupo mbali na wewe ? na kwanini yupo mbali na wewe? ninaomba majibu ingawa kuna watu wawili umewakataza wasi Comment mimi nina ku Comment unasemaje Mwalimu wangu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom