baba @ erickb52 anakuita anasem kwann ujamabidh mjukuu wako hadi leo??
Wee, hujagundua kinachomsumbua bibie?
Process ya kumaintain ikolojia na populesheni huwa inasumbua usipoipata kwa muda mrefu, waweza kuta mtu kajitundika miguu dirishani.
Najua hakuna washangiliaji ila watani wapo..........vp kwani, kafiwa nani??
Wee, hujagundua kinachomsumbua bibie?
Process ya kumaintain ikolojia na populesheni huwa inasumbua usipoipata kwa muda mrefu, waweza kuta mtu kajitundika miguu dirishani.
Kusikia tu nimemensheniwa, unadata??
Kumbe nikaongeze limbwata, hadi utafika bei tu
Chezeiya binti wa kisukuma mwenye mwanya wewe, na miguu mizito
khaaaaaaaaaa!
babu hivi naota ama ni macho yangu tuuuuuuuuuu
thanks bidada kumbe siko peke yangu.Hongera sana kwanza kwa kuweza kufikisha kipindi hicho cha ndoa! Mungu akuongezee maisha na kusimamia ahadi zake katika ndoa.
Pole sana dear wangu we are in the same boat! But Mungu akupe moyo wa uvumulivu na kwa jinsi mnavyomisiana ndo mnazidi kukuza penzie lenu, endelea tu kuwa na mawasiliano ya karibu na ya mara kwa mara kwani ndiyo silaha pekee ya kuendelea kuenzi penzi haswa mnapokuwa mbali na malengo maalumu!
Jipe moyo kwani malengo yaliyowatenganisha ni muhimu zaidi kuliko hata mngekuwa pamoja mkitazamana bila kusonga mbele!
Pole sana! I know the situation your facing but piga moyo konde and speak out like this inadilute machungu na pia kupitia hii wengi kupata mafunzo.
Hadi nyani dume anazeeka unaweza kuhesabu makovu ya mishale??
Na hapo kuna alie ambayo aliipanchi...
Acha utani mkuu......huu ugonjwa hauna kinga zaidi ya tiba sahihi kutoka kwa mteule....!!
Babu DC!!
Kusikia tu nimemensheniwa, unadata??
Kumbe nikaongeze limbwata, hadi utafika bei tu
Chezeiya binti wa kisukuma mwenye mwanya wewe, na miguu mizito
Wee, hujagundua kinachomsumbua bibie?
Process ya kumaintain ikolojia na populesheni huwa inasumbua usipoipata kwa muda mrefu, waweza kuta mtu kajitundika miguu dirishani.
kwa hiyo mkuu Dark City mtu akipata 'tiba sahihi kutoka kwa mteule' hawezi tena kuugua huo ugonjwa? #justthinking
Naomba tusichanganye madesa hapa,
Umeshamaliza kupack au bado??
Babu DC!!
snowhite snowhite hebu kuja pandee hii fasta ja[po gfsonwin kakukataza, nitamalizana naye chumbani ila Kongosho ndo ivo usimchukulie lightly anasogeza magoli ivo! ohooooKusikia tu nimemensheniwa, unadata??
Kumbe nikaongeze limbwata, hadi utafika bei tu
Chezeiya binti wa kisukuma mwenye mwanya wewe, na miguu mizito
Mmh, movie kali
Ni poa tu,
Umesahau kwamba kuibiwa hakuhitaji ruhusa ya mwenye mali??
Babu DC!!!
sjui nani kakuita huko ulikokua mweeeh!