Halafu nimegundua. Hii hali ya hewa[Mvua na ubaridi] ndio inasababisha wapenz ambao wana long distance wakumbukane.
khaaaaaa!
umesahu kwamba wengi tunapend mvua enh!
sasa subiria uone watt wengi wanazaliwaga dec hadi march wajua kwann??
Ndio maana kumbe The secretary ananisumbua kumbe ananitaka?
Lol
kumbe DS kiboko ya wengi enh!
basi kuna mwingine kaja na mada midume na mijike mingine nenda uupitie utaona cha moto humo mweeeeeeeeeeeh!
bora niendelee na ugumu wangu wa kulimiss zee lenzangu khaah!
mmmh! kazi kwao wenye maliwazo
ni kweli kaka ngoja nione huu mpaka ulioko nauvuka je.