Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Andaa nepi tu
zipo. Endelea kuficha siri kuhusu huyo mtoto.
Andaa nepi tu
kwakua ndicho unachokitaka ndivyo itakavyo kuwa.
hahahaah! nana ushajipatia kitengo kabisaaaaaaa ninyi watu siwawezi.
too simple to deal with you.............
KABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANG!
KUDADEKI!
unafanya masikhara na mzuio wa kujifanya hutaki!
sasa hizi tutaombwa ndimu humu!
saaaaasa hivi
SOOON AND VERE SOON!VEEEEERE SOOON
Happy Anniversary mdada!!! Hali uliyonayo uwa inanikuta mara kwa mara, najua sio rahisi lakini mtangulize Mungu ili ndoa na zaidi upendo kati yenu uzidi kuimarika!!!
Cheers,
Tiba
but in a complex figure
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.
sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.
usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!
seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.
jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.
Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!
U show hw much u luv ur hubby thats gud n a gud role model 4 akina ss..atarud tu ucjal u wil av him in ur arms agen