Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

sasa nimnunie wakati anamkwiba baba?

Ila akimgusa zombie, namzalisha bila ujauzito wala pitosini

khaaaaaaaaaaa! so baba sawa ila zombie hapana
ama kweli abiria chunga mzigo wako.
 
Tena hakuna hawara

Tena mie huwa nawaamkia na goti napiga, sina hiyana

Ya nini nimnunie mwanamke mwenzangu kwa nisichoweza kukila?

yani Kongosho nakupendaga ulivo jinias kama my swwtlo gfsonwin na dadake AshaDii. Happy women's day...respect.

sasa tunabalansi vipi huu mfumo-ikolojia wa gfsonwin?
 
Last edited by a moderator:
I know,uko so sweet, huwezi kumdhuru


Ila muwe makini, kiberiti na sheli au sumaki na vyuma bana huwa ni sawa na swala na mwanachui
Nilijua tu lazima dirty mind yako uDO the needful! Sukutambulishi kwa Eiyer wewe, ngastuka!
 
Last edited by a moderator:
ubwabwa wa chukuchuku kwi kwi kwi.
aisee nimeovadrafuti mushahara; naomba lifti ya wikiendi. watoto wakiniona mapema hivi home hawakawii kuniuliza kama naumwa.
Jamani, mwacheni ajilie vyake, kasotea sana ujue?

Miaka 7 si mchezo, yaani sasa hivi ananipika na kunipakua tu

Mie nimetulia tuli, kama mchele wa Kyela, anitie viungo haya, anile chukuchuku hewala
 
Mwl gfsonwin hongera sana! Am proud of you aisee!

Kuongea kwenye kadamnasi kutasaidia kidogo kupunguza hilo gape la kummiss shem!

Hila inabidi utafute muda uende kumtembelea bhana yani mwaka mzima lazima hata yeye ame kumiss pia! Fanyafanya mwl!
Hii itasaidia kulinda ndoa yako!

Aisee i wish wanawake wote wangekuwa hivi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom