The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,540
mpendwa wangu usitaman kamwe maisha ya mume kuwa mashariki mke kuwa magharibi. jamani ni mabaya sana sana sanaMwalimu gfsonwin, pole na hongera maana distance inaongeza upendo katika ndoa wakati ikipungua na upendo au kumissiana kunapungua. Sie tulionao beneti tunatamani hata wange safiri kidogo. Pole ni kwa ubinadamu na nadhani utayashinda majaribu.
The secretary ana mimba?
Jamani, mwacheni ajilie vyake, kasotea sana ujue?
Miaka 7 si mchezo, yaani sasa hivi ananipika na kunipakua tu
Mie nimetulia tuli, kama mchele wa Kyela, anitie viungo haya, anile chukuchuku hewala
Kaizerrrrrrrrrrrrrrrrrr niii lakini!
Bidada nakubalina nawe asilimia 100 kuwa akirudi, life will never be the same!! Ila usiombe kubanana hapa Bongo 24/7 ngumi si ngumi, ingawa zawadi ya chumbani kwa wingi n.k.mpendwa wangu usitaman kamwe maisha ya mume kuwa mashariki mke kuwa magharibi. jamani ni mabaya sana sana sana
yaani wala usiyaombe haya nakuambia. i doubt kama akirudi nitaweza tena kuwa smart kama nilivyokuwa b4 hajasafiri as nimesha zoea maisha ya kukaa peke ynagu.
KABAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANG!Jamani, mwacheni ajilie vyake, kasotea sana ujue?
Miaka 7 si mchezo, yaani sasa hivi ananipika na kunipakua tu
Mie nimetulia tuli, kama mchele wa Kyela, anitie viungo haya, anile chukuchuku hewala
Bidada nakubalina nawe asilimia 100 kuwa akirudi, life will never be the same!! Ila usiombe kubanana hapa Bongo 24/7 ngumi si ngumi, ingawa zawadi ya chumbani kwa wingi n.k.
Halafu nimegundua. Hii hali ya hewa[Mvua na ubaridi] ndio inasababisha wapenz ambao wana long distance wakumbukane.
Dada gfsonwin nimekupendaje leoooo...
Jamani all you married couples ebu tuleteeni stori kama hizi at least once in a while please na sisi tuliokata tamaa ya kuoa tushawishike. maana kina amu, Da Sophy, Wiyelele wanatukatisha tamaa kabisa.
Hata mzabzab akiiona hii anawesha kushawishika kuacha kugegeda ovyo na yeye akamtafuta gfsonwin wake atakae mmiss namna hii...
Otherwise dada yangu hapo kwenye ushauri wa da Kaunga wa ku-hug watu walio karibu naomba unapowazuru wengine usinipite tafadhali...
Me misses you so much n love u a lot! U truly r an inspiration...ila bado nipo nipo kwa muda!!!
#weNidtoTalk
kwani wwe hujui kwamba Bishanga ka mmimba??