Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

mwambie basi arudi kutuona jamaniiiiiii

Haya, nitamwambia ila ngoja kwanza amalizie kikao wana mazungumzo muhimu sana...............ila nimembip, akiwa tayari na kikao ataona ''missed call alert'' halafu atanipigia then nitamwambia....................ila amesema uangalie zile picha zenu za harusi kwenye albam, pale kuna ile picha anaoneka amefurahi sanaaaaaaa......halafu hio picha vuta vumbi km ina vumbi then weka juu ya kitanda........baadae ukiongea nae uangalie ile picha halafu kuna kitu atakwambia, hicho kitu utakipenda sana na utacheka sana........fanya hivyo eeehhhh usisahau!!!!!!!
 
dah! unataka kuniliza tena mweeeh!
 
Kama ni msomaji wa JF hata kama ni member ni rahisi sana kuunganisha dots.

So natumaini atapata muda wa kuona upendo mkubwa wa sweetie wake.

My shem baba Klein, mimi naitwa Kaunga (sio Da Sophy) hope to know you in the near future ofcourse your sweetie akiniruhusu! Lol
Mwalimuuuu gfsonwin pole kwa kummiss kipenda roho!

BTW huu uzi mtamujeee...

I wish I wish hubby wako angekua anajua I'd yako afu akapita hapa lolz.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kama ni msomaji wa JF hata kama ni member ni rahisi sana kuunganisha dots.

So natumaini atapata muda wa kuona upendo mkubwa wa sweetie wake.

My shem baba Klein, mimi naitwa Kaunga (sio Da Sophy) hope to know you in the near future ofcourse your sweetie akiniruhusu! Lol

you are sooo sweet Kaunga it will be ma pleasure meeting him aiseee.
anapenda sana marafiki.
 
Last edited by a moderator:
I know,uko so sweet, huwezi kumdhuru

Ila muwe makini, kiberiti na sheli au sumaki na vyuma bana huwa ni sawa na swala na mwanachui

Kama ni msomaji wa JF hata kama ni member ni rahisi sana kuunganisha dots.

So natumaini atapata muda wa kuona upendo mkubwa wa sweetie wake.

My shem baba Klein, mimi naitwa Kaunga (sio Da Sophy) hope to know you in the near future ofcourse your sweetie akiniruhusu! Lol
 
Kama ni msomaji wa JF hata kama ni member ni rahisi sana kuunganisha dots.

So natumaini atapata muda wa kuona upendo mkubwa wa sweetie wake.

My shem baba Klein, mimi naitwa Kaunga (sio Da Sophy) hope to know you in the near future ofcourse your sweetie akiniruhusu! Lol
Kaunga mpenzi hebu justify hapo red, nyumba ya starehe kijiko kimeingiaje lol
gfsonwin please mruhusu Kaunga anione.....:A S-heart-2:
 
Last edited by a moderator:
Haya mawingu yashindwe, yanahamasisha kusherehea siku ya wanawake kweli

Hivi kauli mbiu wamesema 'mwanamke asiwe mchoyo?' au nilisikia nikiwa high?

mmh! heri yenu wenye kusherehekea siku ya wanawake.
ila ni tamu kweli manake na haya mawingu plus per diem za maandamano mbona full kujiachia??
 
hivi Erickb52 leo unawaza kwa kutmia nini??
si kazi leo umepata cha meru.
Heheheheee hivi mdomo unanuka eeeh lol
Ngoja niende zangu kwa ndofu moja ntarudi baadae nikiwa niko na memory zangu.
Waweza kuta na mimi nina stress za kummiss Amyner wangu maana ni mwezi sasa tangu tuonane!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom