Namhurumia Maggid Mjengwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namhurumia Maggid Mjengwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Nov 10, 2010.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi namfahamu kwa karibu sana Maggidi Mjengwa, kiukweli kabisa yeye si mtu anayeweza kununuliwa kiurahisi. Nimefanya kazi naye kwenye sehemu mbalimbali za tasnia ya habari na ujenzi wa jamii,lakini sikuona dalili kama ni mtu anayekubali kiurahisi kuwa na "Bei" kwa mafisadi au watu wengine.

  Lakini Makala zake za hivi karibuni kwenye gazeti la Raia Mwema na picha anazozitundika kwenye blugo yake zinanipa maswali mengi sana. Ni makala na picha zinazoonyesha kama vile Mjengwa ameshawapigia magoti Mafisadi. Sijui ni nini kimemkuta Maggid Mjengwa. Kwa dhati kabisa namuonea huruma.
   
 2. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tuwekee hiyo makala hapa mkuu ili nasi tupime
  :yield:
   
 3. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
 4. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nami huko nyuma nilikuwa namheshimu,lakini hivi sasa haeleweki kiasi kwamba hata kaarufu ka udini kanaanza kuonekana kwenye mahandishi yake
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kaarufu ka udini Kapo wala sio kananukia
   
 6. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  msidanganyike na jina hahahaaaa ni mwenzenu japo si mshabiki wa kile chama chenu
   
 7. c

  chama JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usipoteze muda wako, Mjengwa ni kichefuchefu kama michuzi hawa si waandishi wa habari ni waganga njaa tu wanatumia blog zao kutafuta sifa bila kujali athari zake kwa jamii, michuzi bei yake poa vitripu vya nje tu, sijui mjengwa wanampata kwa kiasi gani, maanake yeye sijamsikia kwenye vitripu vya mheshimiwa, labda naye anajitengezea njia lakini michuzi ameibana hiyo deal sijui itakuwaje !
   
 8. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakati mwingine bwana lazima tukubali kwamba humu ndani Jamii Forum tunaleta topis za ujinga ujinga tuu! Yaani ni ufyolo mtupu kwenda mbele!! Maggid ni mwandishi wa jamii na amefungua blog yake na anatoa makala kwa maoni yake mwenyewe, and, guess what? He is entitled to his own opinion!

  If you do not like what he wants why do you open his and Michuzi's blogspots? At least they are doing something they passionately like - what the hell have you done? Sam pipo bwana!!!

  Maggid, uuseli vanyalukolo vatige navalonge swela! Keep up with what you and Michuzi are doing in your blogspot and all the best!!
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  And Nyerere was entitled to his opinions: (Sijui tuliendelea au tumeendelea)?

  "Ili tuendelee tunahitaji Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora"
  Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa
   
 10. b

  bob giza JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mjengwa ni ccm damu, ccm ni mafisadi, so mjengwa ni fisadi pia (in one way or another maake anaweza kuwa akawa hana mshiko kama el au ra)....huwa anauma na kupulizia ili aonekane yuko fair ila mapenzi yake kwa mafisadi wake huwa hayajifichi no matter what he writes..na kwamwe haweziliona hiklo cuz' he's totally immersed..
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  aandike atakacho bana who cares???
   
 12. P

  Paul S.S Verified User

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu tupo pamoja. Wakati mwingine napata tabu sana na great thinker, yaani kwao kuwa sahihi ni kuiunga mkono chadema tena bila kuhoji chochote, vinginevyo basi unaganga njaa umenunuliwa na bei ulio nunuliwa utatajiwa.
  Jamani hatuwezi kufikiria sawasawa, tunatofautiana. Unakuja na post yako hapa kumdis mjengwa tena kwa hoja za kinafiki, eti ananunulika kirahisi.
  Acha mambo zako bana kama vipi hunahaja ya kusoma wala kutembelea site yake.
  Jifunze kuheshimu fikra na mitazamo ya wenzio
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka kuna siku mjengwa alianzisha tred humu akielezea hali ngumu ya maisha ya binti mmoja wa Iringa. alisema jitihada za ziada zinaitajika ili maisha yabadilike.
  Ilikuwa ni kipindi cha kampeni. wakati huo kwenye blog yake ilipambwa na picha za mafisadi wakiwa wamevaa mashati ya kijani.
  Nikamwambia madidiliko ungwanzisha wewe kwa kuondoa picha za mafisadi.
  Akasema yeye ametoa fulsa sawa kwa kila chama kuleta picha then yeye anazibandika kwenye blog yake bure ila vyama vingine havikujitokeza.
  Tangu anipe lile jibu,........
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,622
  Trophy Points: 280
  Kigarama, JF was ment to be the home of Great Thinkers, great Mind. Simple Mind discuss people, ordinary mind discuss events na great mind discuss ideas.

  Kuna kitu kinaitwa freedom of information, freedom of expression na the right to information.
  Freedom of information ni uhuru wa kupata habari zozote unazozitaka kama unavyolitumia jukwaa la JF kutembelea popote iwe ni kwenye siasa uchumi sheria au mambo ya kikubwa, huu ni uhuru, hivyo pia uko huru kutembelea blog yoyote utakaiona inakufaa iwe ni michuzi, mjengwa, JF au hata ze utamu, uhuru ni wako.

  Freedom of expression ni uhuru wako binafsi kujieleza kuhusu jambo lolote, kutoa maoni, mtazama, mweleleko wako binafsi kuhusu chochote, kwa kifupi ni uhuru wa kusema chochote, kuhusu lolo, na popote bila kuvuka mipaka au kuingilia uhuru wa mtu mwingine. Hiki ndicho kina mjengwa, michuzi na wengine wote wanachokifanya, ni haki yao.

  The right to information, hii sio uhuru, hii ni haki, sio option bali ni obligation. Ukiikosa haki hii, unauwezo hata kuidai mahakamani, maana hii ni moja ya stahili zako.

  Kinachofanywa na michuzi na mjengwa na jf katika kutoa habari ni just a favour na sio right, sasa wengi wenye mitazama tofauti, wanataka kuigeza favour kuwa right, na hapo hapo kutaka kuzifanya opinion zao ndizo right, which is wrong.

  Michuzi na blogu yake ni yake, hata kama atashinda saa 24 akiimba nyimbo za kusifu na mapambio kwa CCM, bado ni haki yake, na kama ni kweli, anapata manufaa fulani kwa kujikomba komba kwa CCM, au kwa JK kupata trip za nje, hivyo ni haki yake, ndio njia yake ya kuendesha maisha yake, tusimwingilie, huku ni kuingilia uhuru wake.

  Vivyo hivyo kwa mjengwa na wengine, huu ni uhuru wao. Mwachenii Mjengwa atoe maoni yake atakavyo na kuendesha blog yake apendavyo, nasi tutumie uhuru wetu kutembelea blogs tuzipendazo, ziko maelfu kwa maelfu!.

  Free
   
 15. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  vivyo hivyo upande ule mwingine kuna fisadi na viji-fisadi vyenzake lakini kwa kuwa hawako ccm wako upande ule mwengine basi sifa ya ufisadi inajificha. Na hapo ndipo kama ilivyosemwa hapo juu, kuna ulazima gani kufungua maoni ya mtu usiyoyataka? Je leo ukienda kwenye site ya ccmtz kisha utarudi hapa kutuelezea ulichokikuta huko? Kwanini mnashindwa kujadili mambo ya msingi kutoka vichwani mpaka muendee kwenye mawazo ya watu wengine? Nashangaa sana, mnaposhindwa kujenga hoja na badala yake mnataka muimbiwe nyimbo mnazozipenda.

  Kwa kifupi, VIONGOZI wengi (si wote lakini) wa SIHASA Tanzania iwe CCM au UPINZANI ni MAFISADI WA WAZI AU CHINI KWA CHINI. Ila kwa sababu wengi wetu ni VIPOFU na wasiofuatilia HISTORIA ndio maana wamefikia HATUA YA KUWAABUDU na KUWATUKUZA WAWAPENDAO bila KUJALI UADILIFU NA UWEZO WAO :tape::doh:
   
 16. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mwenyewe yuko wapi azijibu hizi tuhuma, maana navyojua ni mdau humu, aje ajitetee..
   
 17. Don Alaba

  Don Alaba Senior Member

  #17
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
 18. m

  maggid Verified User

  #18
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Pasco na wengine,

  Ahasanteni sana. Nimeifuatilia hii thread tangu ilipoingizwa. Kwa kweli ni tatizo letu wengi. Ni kama maradhi. Ni maradhi ya kukimbilia kumjadili mtoa hoja badala ya kujadili hoja iliyowasilishwa. Hata hivyo, ni maradhi yanayotibika, muhimu kwa mwenye maradhi haya ni kutambua na kukubali kuwa anasumbuliwa na maradhi hayo. Nahiyo yaweza kuwa tiba tosha, basi.
   
 19. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Ameshajibu hapo juu, mkuu Gagagigikoko uko wapi umuulize swali jingine???

  :doh: jana tu nimetoka kuyaelezea maradhi yanayotusumbua wengi wetu hapa, nae ameligusia tena. Hivi ni nini maana ya uhuru? je nini maana ya demokrasia? je kwanini wengi wanataka tuwe wamoja? je hamjui kwamba inabidi saa zingine tukubaliane kutokukubaliana? je lazima uwe na matege kama ya kwangu ili tufanane??? je lazima tupande basi moja ili tufike tunakoelekea?? ...................>>>>>>>>
   
 20. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #20
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Majid hata kama akikujidili anakujadili kwa kuficha jina kwanini asiwe wazi pamoja na majina yake yote halisi kama hivi anavyofanya yeye ? si sawa
   
Loading...