Namhurumia Maggid Mjengwa

Namhurumia Maggid Mjengwa

mimi ni muumini mzuri wa 'freedom of information, freedom of expression na the right to information' na kwakua hapo hakukua na hoja yotote ya kuchangia zaidi ya condemnation nkaona vizuri mwenyewe akizijibu...
 
Wadau tuwe tunafungua kidogo Katiba inajibu vizuri mijadala kama hii......Ibara ya 18(1) na (2) ukipenda

Haki ya Uhuru wa Mawazo

18​
.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru
kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta,
kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo
chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa
mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

huyu jamaa ni miongoni mwa watu wengi mamluki wa ccm, anatuletea habari za ukabila katika kuongoza jumba la kutungia sheria. Tusimseme sana tumpuuze tu isionekane nasi wajinga kama yeye.
 
Kigarama, JF was ment to be the home of Great Thinkers, great Mind. Simple Mind discuss people, ordinary mind discuss events na great mind discuss ideas.

Kuna kitu kinaitwa freedom of information, freedom of expression na the right to information.
Freedom of information ni uhuru wa kupata habari zozote unazozitaka kama unavyolitumia jukwaa la JF kutembelea popote iwe ni kwenye siasa uchumi sheria au mambo ya kikubwa, huu ni uhuru, hivyo pia uko huru kutembelea blog yoyote utakaiona inakufaa iwe ni michuzi, mjengwa, JF au hata ze utamu, uhuru ni wako.

Freedom of expression ni uhuru wako binafsi kujieleza kuhusu jambo lolote, kutoa maoni, mtazama, mweleleko wako binafsi kuhusu chochote, kwa kifupi ni uhuru wa kusema chochote, kuhusu lolo, na popote bila kuvuka mipaka au kuingilia uhuru wa mtu mwingine. Hiki ndicho kina mjengwa, michuzi na wengine wote wanachokifanya, ni haki yao.

The right to information, hii sio uhuru, hii ni haki, sio option bali ni obligation. Ukiikosa haki hii, unauwezo hata kuidai mahakamani, maana hii ni moja ya stahili zako.

Kinachofanywa na michuzi na mjengwa na jf katika kutoa habari ni just a favour na sio right, sasa wengi wenye mitazama tofauti, wanataka kuigeza favour kuwa right, na hapo hapo kutaka kuzifanya opinion zao ndizo right, which is wrong.

Michuzi na blogu yake ni yake, hata kama atashinda saa 24 akiimba nyimbo za kusifu na mapambio kwa CCM, bado ni haki yake, na kama ni kweli, anapata manufaa fulani kwa kujikomba komba kwa CCM, au kwa JK kupata trip za nje, hivyo ni haki yake, ndio njia yake ya kuendesha maisha yake, tusimwingilie, huku ni kuingilia uhuru wake.

Vivyo hivyo kwa mjengwa na wengine, huu ni uhuru wao. Mwachenii Mjengwa atoe maoni yake atakavyo na kuendesha blog yake apendavyo, nasi tutumie uhuru wetu kutembelea blogs tuzipendazo, ziko maelfu kwa maelfu!.

Free
Hivi unafikiri unaweza kuzungumzia "issues" bila ya kuchambua msababisha hizo "issues". Ukitaka kuchambua mauaji ya wahayahudi wakati wa utawala wa Kinazi wa ujerumani ni lazima utajikuta moja kwa moja unamchambua na Hittler Pia.

Ukifungua blog ni lazima ujue umefungua huduma kwa jamii na siyo uwanja wako wa kufanya utakavyo. Kama Michuzi na Maggid wangeweka wazi wao ni mashabiki wa CCM na viongozi wake nani angewalaumu.

Tatizo lao ni kujifanya wako fair lakini ukichunguza kwa undani wao fairness iko kwenye kutoa nafasi ya watu wa CCM kuwashambulia wengine ili kudumisha "amani na utulivu"

Halafu simple mind ni kitendo cha kujadili nani anavaa nini, anakaa kwenye nyumba ya nyasi au ya madebe. Lakini kujadili watu wanaoleta matendo yenye taathira kwa jamii hiyo siyo Simple Mind.
 
Hii nimeitoa kwenye thread ya Anna Makinda lkn ina mantiki kubwa sana kwako Pasco.

Society yoyote yenye "moral principles" huwa inawiwa kufahamu hata kiatu cha aina gani kiongozi wao anavaa - kama kiongozi ni lazima uwe una maadili na makuzi ambayo yatawapa watawaliwa "confidence" ya kutawaliwa. Tatizo kubwa sisi Wa-Tanzania na Afrika kwa ujumla tunashadidia "immoralities" za viongozi. Unakuta gari la "state house" limesimama "nyumba ya kulala wageni" Tandale unachekela na kumsifu aliyekuwa na hilo gari!

Kwa umri alionao huyu Mama lazima tufahamu "background" yake ili "tumkubali" - Bunge ni la Watanzania Wote - She is not Allien - Ni mwanamke kama wanawake wengine - lazima tuhoji kama Ameolewa?, Ameachika?, Widower?, Ana Watoto?, Hana Watoto?, Ana Umri gani?, Alishawahi kufanya nini?, e.t.c - Ni maswali ya msingi yanayoweza kukufahamisa tabia njema/mbaya ya mtu yoyote yule.

mimi namfahamu kwa karibu sana maggidi mjengwa, kiukweli kabisa yeye si mtu anayeweza kununuliwa kiurahisi. Nimefanya kazi naye kwenye sehemu mbalimbali za tasnia ya habari na ujenzi wa jamii,lakini sikuona dalili kama ni mtu anayekubali kiurahisi kuwa na "bei" kwa mafisadi au watu wengine.

Lakini makala zake za hivi karibuni kwenye gazeti la raia mwema na picha anazozitundika kwenye blugo yake zinanipa maswali mengi sana. Ni makala na picha zinazoonyesha kama vile mjengwa ameshawapigia magoti mafisadi. Sijui ni nini kimemkuta maggid mjengwa. kwa dhati kabisa namuonea huruma.

i hate people who keep on discussing other people all the time. Cant we come up with issues? What aboutthe ramapnt vot rigging in tz, whata can be done before 2015
?
 
Duh! wewe nawe unataka ushikishwe kidole kama Tomaso ndiyo uione issue!!? Hapa hoja ni maandishi na Picha za Maggid na siyo yeye kama binadamu. hatujadili mke au watoto wake, tunachojadili ni kupindapinda kwa maandishi yake siku hizi hadi anatoka kwenye hadhi yake ya uandishi mahiri.
 
Hivi unafikiri unaweza kuzungumzia "issues" bila ya kuchambua msababisha hizo "issues". Ukitaka kuchambua mauaji ya wahayahudi wakati wa utawala wa Kinazi wa ujerumani ni lazima utajikuta moja kwa moja unamchambua na Hittler Pia.

Ukifungua blog ni lazima ujue umefungua huduma kwa jamii na siyo uwanja wako wa kufanya utakavyo. Kama Michuzi na Maggid wangeweka wazi wao ni mashabiki wa CCM na viongozi wake nani angewalaumu.

Tatizo lao ni kujifanya wako fair lakini ukichunguza kwa undani wao fairness iko kwenye kutoa nafasi ya watu wa CCM kuwashambulia wengine ili kudumisha "amani na utulivu"

Halafu simple mind ni kitendo cha kujadili nani anavaa nini, anakaa kwenye nyumba ya nyasi au ya madebe. Lakini kujadili watu wanaoleta matendo yenye taathira kwa jamii hiyo siyo Simple Mind.

Great minds discuss issues with the complexity of knowing sometimes you cannot separate issues from people, that is why great minds read and write biographies.

Ukisoma Edmund Wilson's "To The Finland Station" utapata historia yote ya ukomunisti ulivyoanza ulaya mpaka Lenin, lakini utausoma si kama ideas kavu, bali kama ideas zilivyojikita katika maisha ya watu, actually ni kama composition ya mini-biographies za watu kutoka renaissance Italy, mpaka kina Michelet Ufaransa all the way to Lenin. Huwezi ku discuss ideas in seclusion, kwani siasa ni string theory ?

To balance my geopolitics (msije kuniita komredi) ukisoma "Profiles in Courage" cha JFK ( Pulitzer, some say really by Ted Sorensen) utaona historia ya ushupavu katika public service ndani ya the American Congress, from Calhoun and Webter all the way to the passage of Reconstruction and beyond. Lakini kitabu hakijaandikwa kama discussion ya dry ideas, kimeandikwa kama ideas ambazo watu waliishi kwazo, kwa hiyo kimeunganisha ideas na watu.

Simple minds copy and paste things dogmatically, including the stale saying "Great minds discuss ideas, simple minds discuss people"

There is a school of thought of noted thinkers, Paul Johnson chief among them, who actually think too much intellectual hyperbolics without a down to earth people connection is dangerous. It is dangerous to discuss ideas too much without linking ideas to people, this will possibly justify some heinous acts like a genocide.

Kwa hiyo acheni hizo copy paste za kusema "simple minds discuss people" wakati unapo discuss ideas, una discuss ideas za watu. Kwa mfano hapo juu nimebondea punditry na kujifanya tuna crystal ball kutabiri mambo wakati hatuna facts, tunaenda na speculations tu, matokeo yake utabiri wa Maggid kwamba inawezekana wanawake wote wakaangushwa umepigwa chini. Kwa hiyo sijamjadili Maggid so much as nilivyojadili the folly of empty predictions.

Lakini simple minds zitaona nimemjadili Majjid.

Kigarama thanks kwa ku distinguish tofauti ya simple mind kujadili nani kala mayai leo na nani kala dagaa, na Kimambi mbona siku hizi anaenda Dubai sana lakini gari yake ile ile ya zamani, na kujadili ideas za watu katika context ya political science, kama nilivyofanya mimi juu hapo kwa kukandya utabiri usiotokana na facts.

Of course pia kuna simple minds zinazomjadili Majjid kwa venom tu kwa sababu hafagilii CHADEMA, hizi kama mnazirushia mawe zirushieni specifically. Sio mnatulundika tulioona ma opus ya from dawn to decadence na wafuata mkumbo, tutawaumbua.
 
Duh! wewe nawe unataka ushikishwe kidole kama Tomaso ndiyo uione issue!!? Hapa hoja ni maandishi na Picha za Maggid na siyo yeye kama binadamu. hatujadili mke au watoto wake, tunachojadili ni kupindapinda kwa maandishi yake siku hizi hadi anatoka kwenye hadhi yake ya uandishi mahiri.

Kigarama ndugu yangu,

Wewe ndiye uliyeanzisha hii thread.

Unasema unanifahamu kwa karibu na tumefanya kazi pamoja sehemu mbali mbali katika tasnia ya habari. Nashukuru kusikia hilo.

Ni kweli nimeanza kuandika magazetini tangu nikiwa kidato cha tatu pale Tambaza. Wananaonifahamu, kama wewe, wanajua, kuwa mimi nina misimamo yangu. Katika tasnia hii ya habari hapa Tanzanua naweza hata kuandika kitabu kuichambua. Nimekutana na kuongea na waandishi wengi. Nimejifunza mengi na bado najifunza.

Kigarama, nikuhakikishie tu, Maggid uliyemfahamu ni yule yule. Sijawahi kupokea ' bahasha' ili niandike jambo la mtu mwingine bila utashi wangu, na kamwe sitafanya hivyo. Mimi ndiye yule, " Mbwa wa Manzese!". Ni heri niwe masikini huru kuliko tajiri mtumwa.

Nitabaki kuwa mwumini wa Mwalimu, maana, kwangu mimi, Mwalimu alikuwa kiongozi wa kweli na aliyenifanya niamini katika Ujamaa na Kujitegemea kama itikadi ya kuniongoza katika maisha yangu.

Kwa makusudi kabisa, staili yangu ya uandishi nimeamua kuibadilisha hata kabla ya uchaguzi. Nimeanza kuziona ishara mpya katika jamii yetu. Naandika kwa staili ya kuwafanya wasomaji wangu wafikiri zaidi, wafikiri kwa bidii, wadadisi. Wahoji.

Kuna mwandishi mmoja Mwingereza aliandika vitabu na vikasomwa kwa miaka mingi. Lakini hakuiona jamii iliyobadilika kutokana na maandiko yake. Akaja kuandika kitabu chake cha mwisho kabla mauti hayajamfika, kiliitwa; " Ni Heri Kuishi Kisiwa Cha Farasi!".

Ndio, ilifika mahali mwandishi yule akatamani kuishi kisiwa cha farasi. Naam. Wakati mwingine ni rahisi kumfundisha farasi akaelewa, kuliko kumfundisha mwanadamu mwenzako. Na wenzangu tuliosomea taaluma ya ualimu mnaweza kunielewa nina maana gani.
 
This post could be interpreted as very condescending, or at the very least lacking in genuine humility.

Walio na cha kufundisha kiukweli wanajua mwalimu mzuri hufundishwa na wanafunzi wake.

Obviously huyo aliyetaka kwenda kuishi na farasi pamoja na anayemsifia wote wameshindwa kujifunza na kushawishi wanafunzi wao, na frustrations za kutaka kujifungia ni alama kwamba hawaambiliki na wanataka kila mtu aishi kama wao.
 
Kigarama ndugu yangu,

Wewe ndiye uliyeanzisha hii thread.

Unasema unanifahamu kwa karibu na tumefanya kazi pamoja sehemu mbali mbali katika tasnia ya habari. Nashukuru kusikia hilo.

Ni kweli nimeanza kuandika magazetini tangu nikiwa kidato cha tatu pale Tambaza. Wananaonifahamu, kama wewe, wanajua, kuwa mimi nina misimamo yangu. Katika tasnia hii ya habari hapa Tanzanua naweza hata kuandika kitabu kuichambua. Nimekutana na kuongea na waandishi wengi. Nimejifunza mengi na bado najifunza.

Kigarama, nikuhakikishie tu, Maggid uliyemfahamu ni yule yule. Sijawahi kupokea ' bahasha' ili niandike jambo la mtu mwingine bila utashi wangu, na kamwe sitafanya hivyo. Mimi ndiye yule, " Mbwa wa Manzese!". Ni heri niwe masikini huru kuliko tajiri mtumwa.

Nitabaki kuwa mwumini wa Mwalimu, maana, kwangu mimi, Mwalimu alikuwa kiongozi wa kweli na aliyenifanya niamini katika Ujamaa na Kujitegemea kama itikadi ya kuniongoza katika maisha yangu.

Kwa makusudi kabisa, staili yangu ya uandishi nimeamua kuibadilisha hata kabla ya uchaguzi. Nimeanza kuziona ishara mpya katika jamii yetu. Naandika kwa staili ya kuwafanya wasomaji wangu wafikiri zaidi, wafikiri kwa bidii, wadadisi. Wahoji.

Kuna mwandishi mmoja Mwingereza aliandika vitabu na vikasomwa kwa miaka mingi. Lakini hakuiona jamii iliyobadilika kutokana na maandiko yake. Akaja kuandika kitabu chake cha mwisho kabla mauti hayajamfika, kiliitwa; " Ni Heri Kuishi Kisiwa Cha Farasi!".

Ndio, ilifika mahali mwandishi yule akatamani kuishi kisiwa cha farasi. Naam. Wakati mwingine ni rahisi kumfundisha farasi akaelewa, kuliko kumfundisha mwanadamu mwenzako. Na wenzangu tuliosomea taaluma ya ualimu mnaweza kunielewa nina maana gani.
Nashukuru Maggidi maana inaelekea ulikuwa unajibu huku ukiwa na kikombe cha chai. hiyo ni kawaida yako, kazi na misosi kidogo. Pia ni uungwana wako unaonivutia maana wengine humu walitaka au walijitwisha dhamana ya uwakili wa hoja zangu kwako. wewe nakufahamu huna tabia hizo, labda rafiki yako Salva.

Hoja yangu Maggid umekuwa muungwana sana kwenye makala zako na kiundani imekuwa kama vile unazunguuuka kuutetea mfumo uliopo. Sijui kama Michuzi amekushawishi kuingia kwenye kambi yake ya "wapiga makofi" kwa watawala, washangilia kila jambo hata kama jambo lenyewe linawadhuru.

Historia yako nimeisoma sana kwenye Blog na Maandishi yako magazetini,lakini Maggid hiyo ni Historia tuu hali ya sasa inaonyesha umebadilika. labda ni Makengeza yangu tuu. lakini tusaidie Maggid, ni nini Kimekupata?
 
Great minds discuss issues with the complexity of knowing sometimes you cannot separate issues from people, that is why great minds read and write biographies.

Ukisoma Edmund Wilson's "To The Finland Station" utapata historia yote ya ukomunisti ulivyoanza ulaya mpaka Lenin, lakini utausoma si kama ideas kavu, bali kama ideas zilivyojikita katika maisha ya watu, actually ni kama composition ya mini-biographies za watu kutoka renaissance Italy, mpaka kina Michelet Ufaransa all the way to Lenin. Huwezi ku discuss ideas in seclusion, kwani siasa ni string theory ?

To balance my geopolitics (msije kuniita komredi) ukisoma "Profiles in Courage" cha JFK ( Pulitzer, some say really by Ted Sorensen) utaona historia ya ushupavu katika public service ndani ya the American Congress, from Calhoun and Webter all the way to the passage of Reconstruction and beyond. Lakini kitabu hakijaandikwa kama discussion ya dry ideas, kimeandikwa kama ideas ambazo watu waliishi kwazo, kwa hiyo kimeunganisha ideas na watu.

Simple minds copy and paste things dogmatically, including the stale saying "Great minds discuss ideas, simple minds discuss people"

There is a school of thought of noted thinkers, Paul Johnson chief among them, who actually think too much intellectual hyperbolics without a down to earth people connection is dangerous. It is dangerous to discuss ideas too much without linking ideas to people, this will possibly justify some heinous acts like a genocide.

Kwa hiyo acheni hizo copy paste za kusema "simple minds discuss people" wakati unapo discuss ideas, una discuss ideas za watu. Kwa mfano hapo juu nimebondea punditry na kujifanya tuna crystal ball kutabiri mambo wakati hatuna facts, tunaenda na speculations tu, matokeo yake utabiri wa Maggid kwamba inawezekana wanawake wote wakaangushwa umepigwa chini. Kwa hiyo sijamjadili Maggid so much as nilivyojadili the folly of empty predictions.

Lakini simple minds zitaona nimemjadili Majjid.

Kigarama thanks kwa ku distinguish tofauti ya simple mind kujadili nani kala mayai leo na nani kala dagaa, na Kimambi mbona siku hizi anaenda Dubai sana lakini gari yake ile ile ya zamani, na kujadili ideas za watu katika context ya political science, kama nilivyofanya mimi juu hapo kwa kukandya utabiri usiotokana na facts.

Of course pia kuna simple minds zinazomjadili Majjid kwa venom tu kwa sababu hafagilii CHADEMA, hizi kama mnazirushia mawe zirushieni specifically. Sio mnatulundika tulioona ma opus ya from dawn to decadence na wafuata mkumbo, tutawaumbua.
Kiranga JF kuna magonjwa mawili makubwa. La Kwanza ni lile kila mtu anajinasibisha na Slogan ya JF " We dare to talk Openly" na "The home of great thinkers" basi kila mtu anaona yeye ana haki ya kusema chochote ila akisemwa yeye anayemsema anaitwa Simple mind. Tatizo hili la Copy and paste kwa kila dhana wanayokariri mashuleni inaleta tabu na ukakasi kuifikiria.

Ugonjwa wa Pili ni CHADEMA. Kila chama hicho kinapokosolewa basi mkosoaji akae tayari kuvamiwa na kusulubiwa kwa kutenda "dhambi" ya kukigusa chama takatifu cha wana JF.

Hata hivyo umekuja kwa wakati kuniokoa!!
 
:smile-big: Mambo mengine inabidi kucheka ...:smile-big: lakini mengine inabidi :nono: kuna mengine yanaku:bowl: lakini hakuna haja ya kukasirika hapa kamwe!:smile-big: kwani ni mijadala na kila mtu ana fikra zake :tape:

na hiki ndicho kikombe chenyewe:

"UKIDHANI WEWE SI MWENDAWAZIMU PIMA KWANZA UHUSIANO WAKO NA MACHIZI!!"
 
Mimi namfahamu kwa karibu sana Maggidi Mjengwa, kiukweli kabisa yeye si mtu anayeweza kununuliwa kiurahisi. Nimefanya kazi naye kwenye sehemu mbalimbali za tasnia ya habari na ujenzi wa jamii,lakini sikuona dalili kama ni mtu anayekubali kiurahisi kuwa na "Bei" kwa mafisadi au watu wengine.

Lakini Makala zake za hivi karibuni kwenye gazeti la Raia Mwema na picha anazozitundika kwenye blugo yake zinanipa maswali mengi sana. Ni makala na picha zinazoonyesha kama vile Mjengwa ameshawapigia magoti Mafisadi. Sijui ni nini kimemkuta Maggid Mjengwa. Kwa dhati kabisa namuonea huruma.

IMG_2212.jpg
 
Huwa nasoma BLOGU yake na gazeti la RAIAMWEMA, uliyoyasema ni kweli kabisa
 
umbea acheni leteni hoja mwanana zilizo na ushahidi usiotiliwa shaka yoyote tofauti na hapo ni majungu na majungu humu hayana nafasi
 
Mimi namfahamu kwa karibu sana Maggidi Mjengwa, kiukweli kabisa yeye si mtu anayeweza kununuliwa kiurahisi. Nimefanya kazi naye kwenye sehemu mbalimbali za tasnia ya habari na ujenzi wa jamii,lakini sikuona dalili kama ni mtu anayekubali kiurahisi kuwa na "Bei" kwa mafisadi au watu wengine.

Lakini Makala zake za hivi karibuni kwenye gazeti la Raia Mwema na picha anazozitundika kwenye blugo yake zinanipa maswali mengi sana. Ni makala na picha zinazoonyesha kama vile Mjengwa ameshawapigia magoti Mafisadi. Sijui ni nini kimemkuta Maggid Mjengwa. Kwa dhati kabisa namuonea huruma.

Unanikumbusha mbali sana; nakuwa nawaona akina mama wanasukana nywele, mara jamaa anapita, wanaanza kumjadili, katika jadili hiyo, kuna negative na postive, lakini wanajadili mtu wanayemuona na kumfahamu!

forum kama hii yenye members zaidi ya elfu kumi, unapoadnika lines kama hizi bila any clue kwa msomaji, unajidharaulisha kuliko akina mama wanaosukana nywele!

next time ili wewe uonekane una akili na kutaka kumvuta mjengwa upande wako, andika au post alichoandika, read btn the lines na kosoa kwa hoja kila alichoandika, YOU will then simply qualify as greath thinker
ulicholeta hapa ni sawa na kusema unanilaumu kwa nini nimevaa shati la bluu wakati wewe umevaa nyeupe!!! you ant everyone to be like yoou!! probably many in this forum are like you!!! kutumia mabavu kushawishi watu, badala ya lugha ya mvuto na hoja isiyopingika!!!
 
Kigarama ndugu yangu,

Wewe ndiye uliyeanzisha hii thread.

Unasema unanifahamu kwa karibu na tumefanya kazi pamoja sehemu mbali mbali katika tasnia ya habari. Nashukuru kusikia hilo.

Ni kweli nimeanza kuandika magazetini tangu nikiwa kidato cha tatu pale Tambaza. Wananaonifahamu, kama wewe, wanajua, kuwa mimi nina misimamo yangu. Katika tasnia hii ya habari hapa Tanzanua naweza hata kuandika kitabu kuichambua. Nimekutana na kuongea na waandishi wengi. Nimejifunza mengi na bado najifunza.

Kigarama, nikuhakikishie tu, Maggid uliyemfahamu ni yule yule. Sijawahi kupokea ' bahasha' ili niandike jambo la mtu mwingine bila utashi wangu, na kamwe sitafanya hivyo. Mimi ndiye yule, " Mbwa wa Manzese!". Ni heri niwe masikini huru kuliko tajiri mtumwa.

Nitabaki kuwa mwumini wa Mwalimu, maana, kwangu mimi, Mwalimu alikuwa kiongozi wa kweli na aliyenifanya niamini katika Ujamaa na Kujitegemea kama itikadi ya kuniongoza katika maisha yangu.

Kwa makusudi kabisa, staili yangu ya uandishi nimeamua kuibadilisha hata kabla ya uchaguzi. Nimeanza kuziona ishara mpya katika jamii yetu. Naandika kwa staili ya kuwafanya wasomaji wangu wafikiri zaidi, wafikiri kwa bidii, wadadisi. Wahoji.

Kuna mwandishi mmoja Mwingereza aliandika vitabu na vikasomwa kwa miaka mingi. Lakini hakuiona jamii iliyobadilika kutokana na maandiko yake. Akaja kuandika kitabu chake cha mwisho kabla mauti hayajamfika, kiliitwa; " Ni Heri Kuishi Kisiwa Cha Farasi!".

Ndio, ilifika mahali mwandishi yule akatamani kuishi kisiwa cha farasi. Naam. Wakati mwingine ni rahisi kumfundisha farasi akaelewa, kuliko kumfundisha mwanadamu mwenzako. Na wenzangu tuliosomea taaluma ya ualimu mnaweza kunielewa nina maana gani.

" mwandishi wa habari anayetumia kalamu hovyo ni hatari kuliko askari kichaa mwenye AK 47"
Maggid nakubaliana na hoja zako labda staili yako ya uandishi kidogo wasomaji wengi hatuilewi tunachotaka ni fairness kwenye utoaji wa habari, uandishi ni taaluma kama ulivyo udaktari kwani vyote vinaitumikia jamii; fichua maovu hata kama yapo ndani ya nyumba yako, ukiona uchafu ndani ya chadema, ccm , cuf na vyama vyote ipashe jamii; chamsingi ifanyie hakiki kazi yako ili utupe wasomaji habari kamilifu.
 
Mwalimu/ Mkufunzi Majjid rudi shule kasome tena historia ya nchi yako ili uweze kufundisha vizuri, kabla ya hapo sahihisha blog yako. Spika wa kwanza chini ya Nyerere Tanganyika alikuwa A.Y.A Karimjee, na wala si Adam Sapi Mkwawa.

Ndiyo maana jengo lililokuwa la bunge Dar linaitwa "Karimjee Hall"

Kwenye blog yako umeandika

Chifu Adam Sapi Mkwawa, mjukuu wa Chifu Mkwawa Mwinyigumba wa kabila la Wahehe hapa Iringa. Huyu ndiye alikuwa Spika wa kwanza katika Bunge la Tanganyika la enzi za Mwalimu. Anna Makinda akishinda hiyo kesho Iringa inaingia katika rekodi ya kutoa Spika kwa mara ya pili katika historia ya nchi hii. Chifu Adam Sapi alikuwa Mhehe na Anna Makinda ni Mbena, wote ni hao hao.

http://mjengwa.blogspot.com/
 
"Anna Makinda akishinda hiyo kesho Iringa inaingia katika rekodi ya kutoa Spika kwa mara ya pili katika historia yaalikuwa Mhehe na Anna Makinda ni Mbena, wote ni hao hao".

Maggid article hii kidogo ina walakini siamini kama umeiandika kwa hisia za ukabila lakini hukufanya utafiti wa kina na kujiuliza je mhaya ama mkurya akisoma habari hii ataielewa vipi? Ninachokushauri jaribu kuweka hypothesis kabla hujaandika habari, lengo ni kuelemisha jamii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom