Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Kunywa Sasa kwanza ushagonga hapo eeeh unasikilizia utamu 😝😝😝😝😝Huwezi niambia pombe ni ushwaini
Kunywa Sasa kwanza ushagonga hapo eeeh unasikilizia utamu 😝😝😝😝😝Huwezi niambia pombe ni ushwaini
Hahahaaha kabinti kangu nakapenda mno lazima nikape torati aseee😅😂😂 Ila wewe, Mungu akurehemu
Ila boa jamani ni kinywaji kitamu sana. Hakima mbambamba.Watuache na bia zetu.
View attachment 3442320
Kumbe mdadaa 🤣🤣🤣🤣 Dr am 4 real PhD watambulishe mwenyekitiMimi nr mwanamke na nimemeza pombe tangu chekechea sio poa
Bado mida ila soonKunywa Sasa kwanza ushagonga hapo eeeh unasikilizia utamu 😝😝😝😝😝
Doooh katakua kama mie shangazi yake shauri yakoHahahaaha kabinti kangu nakapenda mno lazima nikape torati aseee😅
Ha ha ha double kiki na smart gin doooh hapana aiseeMi saivi nakunywa Hansons choice TU mavisungura nimeshatemana nayo yangenikili
Ili mradi kiwepo tu madam😊Doooh katakua kama mie shangazi yake shauri yako
Usifosi mkuuHajawai kuishiiii
Mkuu maisha ni yako, kwanini mtu akupangie namna ya kuishi?Kwema wakuu
Nikiona mtu anamuambia mtu asinywe pombe namuona kama ana matatizo ya akili.
Hapo unakuta
1.Anakunywa Ernegy
2.Soda Pepsii Bariidi
3.Anapenda wanawake balaa
4.Anakula Gomba na Skanska
Mpumbavu wewe
Milele aminaKesho jumuiya tutasali kwa Poor Brain awahi awashe mshumaa,
Wanajumuiya wa Thomas More, tuwahi
Tumsifu Yesu kristo
Tuwahi jumuiya wakatumeni na walei wote,Milele amina
Kuna mwanangu mi nilikua nakula lager yeye anakula hizo vitu.Mpumbavu mwenyewe mkuu
Siku nyingine usituharibie jina la kitu yetu...ni SKANKA!!