Nambie kwanini mimi nisinywe pombe?

Nambie kwanini mimi nisinywe pombe?

Kunywa pombe lkn usiwe na mke! Maana ipo siku utaleta mada kulialia unagongewa mkeo!
 
Kwema wakuu

Nikiona mtu anamuambia mtu asinywe pombe namuona kama ana matatizo ya akili.

Hapo unakuta
1.Anakunywa Ernegy
2.Soda Pepsii Bariidi
3.Anapenda wanawake balaa
4.Anakula Gomba na Skanska

Mpumbavu wewe
Ulevi ni shetani mbaya sana he he heeee umenitesa... Vuta bangi sio pombe
 
Mithali 23:31-32
Usiutazame mvinyo uwakapo, utiririkapo ndani ya kikombe, utakapong’aa kama shaba. Mwisho wake huuma kama nyoka, huuma kama fira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom