- Thread starter
- #81
Relax man huwezi ninsema kwamba mimi nakunywa pombe maana watu wengi watunyooshea kidoleNimeiacha pombe zaidi ya 15 year Sasa , siwezi kuirudia, kupenda wanawake sio ulevi ni tabia, iyo tabia Ipo Kwa makundi yote wanao kunywa pombe na wasio kunywa pombe. Kwahiyo kutokunwa pombe hakumfanyi MTU kuwa Malaya.
Hata hivyo fanya kinachofurahisha moyo wako tusipangiane starehe.