Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,238
- 18,356
Ety tunywe pombe afu tuje kulia kuhusu mke kugongwaKiaje mkuu
Nikamuuliza wanywa soda hawagongewi? 😂
Ety tunywe pombe afu tuje kulia kuhusu mke kugongwaKiaje mkuu
Wanywa soda hata ni watu wakujadili mkuu😅Ety tunywe pombe afu tuje kulia kuhusu mke kugongwa
Nikamuuliza wanywa soda hawagongewi? 😂
Kaka tuanzishee Mshana Jr aisomeeeKaka tufungue uzi tukutane memba tumchague na kiongozi , kwetu kutoke michongo ya pesa , ushauri kwa wale walio athirika na pombe na jinsi ya kunywa pombe kijanja 🤔
Wewe ni kati ya walokole ninao wapenda madam , una akili nyingi mno kongole kwako madam mzuriKwasababu unatatizo la afya ya akili tayari...
Ukinywa utavaa chupi kichwani kabisa
😂😂😂Wanywa soda hata watu wakujadili mkuu😅
Tuanzishe sisi bwashee mshana naona kupokea ushauri wetu kazeeka sana😅
Asante, ubarikiwe na Mungu wewe na uzao wakoWewe ni kati ya walokole ninao wapenda madam , una akili nyingi mno kongole kwako madam mzuri
Kwenye hili somo sina notisi mkuu
Uzao wangu haubarikiwi na maneno matupu zaidi ya kazi tu , hata binti yangu kipenzi ukimuuliza atakumbia hii torati madam😊Asante, ubarikiwe na Mungu wewe na uzao wako
Kaka unajua una akili mingi sana 😅Kwenye hili somo sina notisi mkuu
Umemjibu vyema kabisaUmekutesa wewe na sio wote bwashee ,kaa kwa kutulia huwenda kwa ukubwa wa ubongo wako hukupaswa tumia pombe🤔
Oy tangu najitambua napiga gambe..nimeanza chekechea ubongo wangu unatisha kabisakwa pombe.... bwana wee wachana na chupa ni ushenzi kabisa uwiiiUmekutesa wewe na sio wote bwashee ,kaa kwa kutulia huwenda kwa ukubwa wa ubongo wako hukupaswa tumia pombe🤔
Soma kwa kuelewa acha mihemkoKwasababu unatatizo la afya ya akili tayari...
Ukinywa utavaa chupi kichwani kabisa
Sio vyemaUmemjibu vyema kabisa
Kaka weee ni dada au Kaka bro , sio kwa ubaya ila tujuane tu walevi😅Oy yangu najitambua napiga gambe bwana wee wachana na chupa ni ushenzi kabisa uwiii
Huwezi niambia pombe ni ushwainiSio vyema
Wala Nini walahi pombe ni uswain kabisaaaaaa
Mimi nr mwanamke na nimemeza pombe tangu chekechea sio poaKaka weee ni dada au Kaka bro , sio kwa ubaya ila tujuane tu walevi😅