Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,824
- 113,408
😂😂Kula chuma hiyo.
View attachment 3442318
😂😂Kula chuma hiyo.
View attachment 3442318
Uhakikadah hawa jamaa wanaongoza kwa kuaibisha sare za kazi zao...... fikiri hapo ana silaha ana sare za kazi dah noma
Yaan ukipata wasaa uniambie mimi kuhusu nyoka yote hayo ni kunishawishi mimi kula nguruwe... Kuwa seriously mkuuMkuu tupo kwenye pori, unaweza kula au kunywa chochote, kinachokutatiza wewe ni joka la kimaadili, ipo siku nikipata wasaa nitakupatia simulizi ya joka...
Ni joka jeusi la kutisha, ukipambana nalo utakwisha,
Ana undugu na Sababu, mtu anampenda pia.
Sokwe mtu anapenda maneno kuliko anavyopenda asili yake,
Hata John alimzungumzia joka kwenye kitabu cha ufunuo, aliadhibiwa baada ya kumpa uhuru mnyama..
Hahahaha joka ni balaa.
Kwenye Uislamu hatuna ma mende kama wewe, acha kutuchafulia dini ya khaki,We jamaa mimi ni mwislam safi
Una matatizo we mla kitimoto poor brain kutwa kujificha,Mkuu mimi sili kitimoto
Mkuu mimi pia sifanyi uchafu wa kimaumbile
Acha kusambaza mambo ya ajabu mi jilichosemq kitimoto ina dhambi kubwa kuliko ishunya kulana
Mimi sio mende ni vile ujajua kusoma tafsili ya vitabuKwenye Uislamu hatuna ma mende kama wewe, acha kutuchafulia dini ya khaki,
Mpuuzi kweli
Sikushawishi ule nguruwe, lengo langu ni kukujulisha kuwa morality ni construct, it was invented, na sifa yake kuu ni masking, ukipata wasaa wa kujiuliza ni kwanini waislamu hawali nguruwe, ndani yake utakuta chuki dhidi ya nguruwe, na chuki ni hisia inayotoka pale tuu mhusika anapozidiwa nguvu, na huwa inamuumiza mlengwa na kumfanya dhaifu, ahsanteYaan ukipata wasaa uniambie mimi kuhusu nyoka yote hayo ni kunishawishi mimi kula nguruwe... Kuwa seriously mkuu
chuki ni hisia inayotoka pale tuu mhusika anapozidiwa nguvu, na huwa inamuumiza mlengwa na kumfanya dhaifu, ahsante....Sikushawishi ule nguruwe, lengo langu ni kukujulisha kuwa morality ni construct, it was invented, na sifa yake kuu ni masking, ukipata wasaa wa kujiuliza ni kwanini waislamu hawali nguruwe, ndani yake utakuta chuki dhidi ya nguruwe, na chuki ni hisia inayotoka pale tuu mhusika anapozidiwa nguvu, na huwa inamuumiza mlengwa na kumfanya dhaifu, ahsante