

mbona ume support nilichoandika? Sijui kitu kivipi ? Umekaa na mimi tukashare analysis? Kwanza kujua strategy na management ya account ni vitu viwili tofauti na hakuna high paying strategy eti strategy fulani na fulani itakupa majibu chanya


mtu anaweza kutumia support and resistance na usimfikie hata maana kujua strategy na management ya account ni vitu viwili tofauti.
Kingine ni kwamba kama hauna basic ya BTMM bado haujajiita trader believe me fuatilia ma mentors na traders wakubwa woote hiki kitu hawawezi kukwambia ila woote wana rely kwenye BTMM maana ndiyo inakupa mwangaza wa wapi soko linaenda .
Ukielewa vizuri BTMM kujua zones za demand and supply inakuwa childs play kwako .
Yoote uliyoaandika kuanzia risk management na position ina deppend mtu na mtu mfano kuna mtu hatumii stop loss kabisa ila wewe ukimuona na trading yake unaweza sema ni begginer hajui kitu?
Kingine kwenye mtaji unaeza anza na wowote na positions ukaweka zozote unazotaka deppend on your magin though itakuwa very risky kwa begginer ila fuatilia uone watu wanaanza hadi na 10 usd na wanaipandisha mpaka 10k ++ usd so ni experience ,foundation na mentality ya mtu ndo ina play part kubwa.