Una ushahidi wa kwamba ulishafanya hiyo forex na kupata returns?Mm sio newbie ndugu...rules za risk management nazifahamu fika...
sarafu za mtandaoni haziitwi forex trading- ni cryptocurrencyHabari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
U r not seriousNatoa nafasii ya kunijaribu kwa small account kabla ya kufund kiasi kikubwa pia.. naprove kwa actions sio fake screen shots
fanya kuonyesha real screen shots za your live account,Natoa nafasii ya kunijaribu kwa small account kabla ya kufund kiasi kikubwa pia.. naprove kwa actions sio fake screen shots
Me watching someone finding easy money to bet the whole fam in one trade ili akipata faida kubwa na yy share ya 50% ake iwe kubwa.Any way labda wewe huna lengo hili ila 99% ya wanaojidai wanamanage accounts ndo tabia zao,kuna jamaaa alikuwa anajiita Born to fx alichoma million za 2 mdada wa watu af akapotea kwa group yule sister akaleta mrejeshp kuwa atamloga na atapata ajari mbaya sana.Kweli dada akatimiza ahadi ake tushampoteza account manager mmoja.Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
Why ufake ?Naeza fake na ukaamini pia...hapa labda ntashare analysis tuh sio digits
1. Kwanini usitafute walau dola 50 tu ukaitrade taratibu na kuikuza mwenyewe?Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
AiseeeOf Which forex is a part of it though...