Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Hii ya kujuta na kulia na kuwaza kama umechezewa ni concept ngeni sana kwangu. Sielewi! Ni kwamb ou were coerced into sexa ama ulisex uki expect mengi ama majuto na kilio hutokana na nini.

From my understanding and experience sex is meant to be enjoyable and safe between two equal parties.
mimi huwa nahisi nimefanya kosa kumfurahisha huyu mwanaume na mawazo kibao negative tu
 
Habari zenu wapendwa.

Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani.

Maswali mengine ya kijinga sana, mtu umeelewa kuwa ukifanya ngono na janaume jipya vilio vinatawala, kama kulia kwako unakupenda endelea kubadili wanaume. Usituulize tena kwanini unalia wakati jibu unalo k////@2@@@///""??&%$#@///u/////$%&()//////m////&@#)+/////a////?><"🙁&//// yako haitaki wanaume wengi.
 
Kwaiyo mnapokuwa pamoja na mkajikuta wote mnahamu ya kupeana raha je,huwa hauwazi kuhusu tatizo lako hilo au ukimaliza tu ndiyo unajikuta unaanza kulia?maana wengine tatizo lao hulia sauti za wanyama wapofanya mapenzi ila wanakuwa hawajitambu

no! wala siwazi, coz pale nakua na feelings nyengine kabisa.... I hope unajua ukiwa na mtu unaempenda alafu hujawahi fanya nae chochote hata njaa husikii na hukumbuki kula....
 
Yaelekea hujatulia..."tatizo huisha nikishamzoea"...Unao wangapi?

unataka kunambia we toka uanze kufanya mapenzi unae huyo huyo mmoja mpaka leo? kama huna umewatoa bikra wangapi kati ya uliowahi kuwa nao? wanaume mnajijua mlivyo wezi na player, so ukinizingua sirembeshi... kila mtu anakula kona yake, anakuja mwingine maisha yanasonga
 
Dawa yake ndogo tu: Acha kubadilisha boyfriends mara kwa mara. Ukilia mara moja ndani ya miaka kama mitatu sioni ubaya wake.
sasa mwanaume akikuzingua uendelee kung'ang'ania tu kwa sababu ya kuogopa kulia? si kwamba napenda kuwa na wengi, ni kutofautiana tu... mnajikuta mmeachana then maisha yanaedelea
 
jua belie ni muongo.....pitia thread zake za nyuma..
nashukuru Tyta hakiamungu ungekua una judge na maisha ya watu hivi hivi..... duniani ungebaki mwenyewe aisee
 
Last edited by a moderator:
we endelea kulia tuu........si ndio kilele chako kilipo......
 
Inatokeaga belie mi huwa nalizwa na swali 1 tu ambalo huwa najiuliza mwenyewe baada ya game tight "hivi haya yoote nnayofanyiwa kuna mwanamke mwingine tena anaenda kupewa" nikijiuliza tu nalia
 
Last edited by a moderator:
yawezekana, mana nakumbuka ulinambia kama wanifananisha alaf hukujib tena, embu ni PM kwanza....
Nahisi harufu ya mbege humu...tayari rematch inaandaliwa next wikienda..lol
 
Back
Top Bottom