Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

..basi unatatizo la kisaikolojia.....
Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

Started by belie, 17th October 2014 16:35
Kaka wa boyfriend wangu ananitaka

Started by belie, 3rd October 2014 12:46
Anataka kunioa kisa wanawake zake wote wameolewa

Started by belie, 24th September 2014 17:04
Anatishia kuniua kisa ananipenda

Started by belie, 23rd September 2014 14:15
Nahisi bado nampenda

Started by belie, 22nd September 2014 14:40
tumblr_lv20na0im21r0fh7co1_500.jpg

images

I don't care ether, what is the meaning of social?
its better speak out and live lather than be quite and die.....!! 'take it from me'
 
Kwani ukilia unaacha uzinzi au unaendeleza gem? We endelea kutupiwa mzigo japo nafsi haitaki lakini tamaa ya mwili inakushinda.
 
Habari zenu wapendwa.

Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani.

Mwambie akufumue mshono wa nyuma atelezeshe ili upige mayowe vizuri
 
Kulia katika kubanjuliwa , yawezekana ndio point yako ya kuwa umelizishwa .
Au mdau anakuwa na chombo kama cha mgiriki kwahiyo unakuta ulikuwa unavumila tu ?
Je, huwa unasikia maumivu unapo banjuliwa ? Labda tuanzie hapo.

dah! mkuu inabidi mzee kfimbo cheza akutafute akuchalaze utoe maana ya " kubanjuliwa, kulizishwa, mgiriki,
 
Back
Top Bottom