Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

ni kitu cha kawaida hicho kuna mawili hapo

,.....analia kwa furah ya kupta new guy na kukupa gegedo lililokukuna vizur unalilia utamu

,......unakuwa na mawazo ndni ya kichwa huyu nae kaona tena umbo lngu naked litaonwa na wangapi hadi ndoa....also unaogopa ishu za kuachwa tena na penzi ushatoa uuuuuupsi
hahahhahah wala hata siwazi chochote, labda raha
 
sina jibu sahihi ya nini kinachoniliza.... ndo mana nikasema sijui kwanini nalia, yani inatokea tu automatically machozi yananitoka, na wala huwa siumii, maybe utamu.... na kama ni utamu kwa nini nikishamzoea yani nikifanya nae mara 4/5 hivi naacha kulia? na utamu unakua ule ule au unazidi...

Kwa hiyo usiku mmoja ukikung'utwa mara 5, cha sita unaacha kulia?
 
Habari zenu wapendwa.

Mwenzenu nna tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani.

Machozi ya furaha hayo. No problem. Huwezi kuugua BP wewe!
 
kumbe watu wanaliaga maji? nalia kabisa mpaka kwikwi! hebu nielekeze wanakowatafutia hao waume?!

Utakua una tatizo, si umesema ukizoea hali inaisha?! Ndo mana nikashauri upate mume
 
Mkuu b,
nunua kitu chaitwa kohul yapatikana K'koo utumie once before na once after !! yote yataisha na kubaki ukicheka.......!
natumiaje sasa mkuu, and inahusika na macho au upunguzaji wa machozi mwilini?
 
nilikuwa na mpenzi ambae akifika kileleni anakata mawasiliano,....mwanzo niliogopa lkn nilimzoea
 
nadhani ni hisia kali(passion) na ndo unakua tayari unaanza kufungua chapter ya kumpenda mkunaji!!
Nimeshawahi kukutana na wasichana wa design hiyo kama watatu hivi so ni normal otherwise mmoja wapo uwe ni wewe
 
nadhani ni hisia kali(passion) na ndo unakua tayari unaanza kufungua chapter ya kumpenda mkunaji!!
Nimeshawahi kukutana na wasichana wa design hiyo kama watatu hivi so ni normal otherwise mmoja wapo uwe ni wewe
yawezekana, mana nakumbuka ulinambia kama wanifananisha alaf hukujib tena, embu ni PM kwanza....
 
unalia au unatoa machozi? kwa nini baada ya kubanjuliwa na sio wakati wa kubanjuliwa? Sleeping allowance huwa unapewa baada ya tendo au kabla?
 
nilikuwa na mpenzi ambae akifika kileleni anakata mawasiliano,....mwanzo niliogopa lkn nilimzoea
anakataje hayo mawasliano? anazimia au? anakutupia kule hahhahahahah
 
Back
Top Bottom