Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Acha uzinzi wewe, si uolewe uache kulia na utabikiliwa mara ngapi ..?
 
Huo ugonjwa unaitwa kulialiasis unawapata mabinti wa umri kati ya 20 hadi 24 lakini ni very rare.
 
Wewe lia tu kama ndo starehe yako mwenzangu kwani nini... usisahau kuwasha redio na mziki wa ngwasuma then jiachie lia weeee shaka gani lol atazoea tu huyo bf wewe mwambie asishtuke akiona unalia ajue amefanya kazi yake ipasavyo
 
kama unataka kulia zaidi ni PM Maana mimi nakuna mpaka unakojoa mkojo wa kawaida unaweza kuhisi festula imekukaribia na jinsi ninavyopenda kubembeleza ukilia nitakuwaje bize?

nshakwambia akinikuna vizuri, sasa kukunwa vizuri kuna maumivu?[/Q
 
''nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu''

Umefanya na watu wangapi? Idadi itaamua jibu na ushauri wa kukupatia
 
Habari zenu wapendwa.

Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani.
Very simple! Kaa na huyohuyo mmoja hutolia tena la kama uko wa daily paid basi lisiwe tatizo ya ndani ni yenu peke yenu!
 
we mbulula we, uwe unaanza kuli wakati wa tukio, sio unalia wakati wa mechi. halafu wlia kimahaba sio kama umepatwa na msiba

MIDEMU YA KIHEHE BWANA !!!
 
hakuna kisa nilichoandika cha uongo..... vyote vinenitokea, vingine vya kupita na vingine bado vinaendelea, kama kile cha yule alonitishia kuniua.....

..basi unatatizo la kisaikolojia.....
[h=3]Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu[/h] Started by belie, 17th October 2014 16:35
[h=3]Kaka wa boyfriend wangu ananitaka[/h] Started by belie, 3rd October 2014 12:46
[h=3]Anataka kunioa kisa wanawake zake wote wameolewa[/h] Started by belie, 24th September 2014 17:04
[h=3]Anatishia kuniua kisa ananipenda[/h] Started by belie, 23rd September 2014 14:15
[h=3]Nahisi bado nampenda[/h] Started by belie, 22nd September 2014 14:40
tumblr_lv20na0im21r0fh7co1_500.jpg

images
 
..basi unatatizo la kisaikolojia.....
[h=3]Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu[/h] Started by belie, 17th October 2014 16:35
[h=3]Kaka wa boyfriend wangu ananitaka[/h] Started by belie, 3rd October 2014 12:46
[h=3]Anataka kunioa kisa wanawake zake wote wameolewa[/h] Started by belie, 24th September 2014 17:04
[h=3]Anatishia kuniua kisa ananipenda[/h] Started by belie, 23rd September 2014 14:15
[h=3]Nahisi bado nampenda[/h] Started by belie, 22nd September 2014 14:40
tumblr_lv20na0im21r0fh7co1_500.jpg

images

Dont mess with him!
 
Back
Top Bottom