Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

Habari zenu wapendwa.

Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani.

Unalia kwa sababu nafsi yako inakusuta kwa kugawa uroda kwa wanaume kibao mara huyu leo mara yule kesho. Yani kila siku unaopoa dume jipya. Sasa cha kufanya tulia na mmoja kati ya hao mfunge harusi na ukishafanya hivyo hutolia tena.
 
Mtoa mada kumbe haya mambo umeanza muda? Uwe unakojoa kwanza utaacha kulia ili kupunguza machozi
 
duuu ndo nasikia leo... i wish nimpate wa ku lean on my shoulder baada ya kubenjuana ...
 
Inawezekana unalia coz unajikuta unatoa uroda ovyo ovyo so ukikumbuka list inazidi kuongezeka ushauri tulia na mmoja kamwe huto lia
 
Unalia maana umejikomit madhambi acha zina na tafuta mwanaume halali baada ya kulia utafirahi
 
hihi ni mwana mume ndo anatafuta mke au mwanamke ndo anae tafuta mume?....hapa nahitaji ufafanuzi zaidi mkuu hivi ni yupi mwenye jukumu la kumtafuta mwingine??

Wanatafutana....
 
..tatizo historia yako inakuhukumu...unakubali visa vyako vya nyuma si vyote vya kweli....????tuanzie hapo...
hakuna kisa nilichoandika cha uongo..... vyote vinenitokea, vingine vya kupita na vingine bado vinaendelea, kama kile cha yule alonitishia kuniua.....
 
We utakuwa una k maji sana ndio maana maji yanazidi yanatokea machoni
 
Ni kilio cha furaha au unakuwa ni woga tu, inawezekana ni kutojiamini kwann itokee mwanzoni mwa mahusiano? Jenga tabia ya kujiamini hutolia tena.
 
Hata mimi nalia tukimaliza tu ,basi huanza kulia wee mpaka mdada nae analia,inakuwa sote tunalia ,mwishowe tunajikuta tunaanza tena mambo yetu ,siku moja tulifika karibu ya asubuhi ,siku ile siisahau maana kabamia kangu kalisinyaa kupita maelezo. Ilikuwa zaidi ya mara sita tulilia ,ila yeye alikuwa halii kama wewe ,umempita ! Yeye nishatengana nae !
 
Au unalia kwa vl haupew hela nn labda mara kadhaa ulitolewa kapa jaribu kuchukua advance
 
Hata mimi nalia tukimaliza tu ,basi huanza kulia wee mpaka mdada nae analia,inakuwa sote tunalia ,mwishowe tunajikuta tunaanza tena mambo yetu ,siku moja tulifika karibu ya asubuhi ,siku ile siisahau maana kabamia kangu kalisinyaa kupita maelezo. Ilikuwa zaidi ya mara sita tulilia ,ila yeye alikuwa halii kama wewe ,umempita ! Yeye nishatengana nae !
Duh pole, sasa ulimuacha kwa tabia yake ya kulia au kwa jengine
 
Inaonekana una nyege nyingi sana ndo mana unaacha kulia hadi mkizoeana ambapo pia nyege hupungua.
 
Back
Top Bottom