Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
thread za belie ZOTE zinazazungumzia kitu kile kile......
lakini si zinakuwa jukwaa husika
Last edited by a moderator:
thread za belie ZOTE zinazazungumzia kitu kile kile......
Habari zenu wapendwa.
Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.
Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.
Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?
Ushauri jamani.
Kuna mmoja juzi alisema ananguruma, wewe unasema unalia
sina jibu sahihi ya nini kinachoniliza.... ndo mana nikasema sijui kwanini nalia, yani inatokea tu automatically machozi yananitoka, na wala huwa siumii, maybe utamu.... na kama ni utamu kwa nini nikishamzoea yani nikifanya nae mara 4/5 hivi naacha kulia? na utamu unakua ule ule au unazidi...
hahaha itabidi nifiche maji siku hiyo... ka mambo yenyewe ndo haya!!!! hzo 40 alc hyo match yake sipati picha
kwanza huwa sipendi attention.. huwa sipangi kwenda kufanya mapenzi, hiyo hali inatokeaga tu automatically nikiwa kwake au kwangu, ndo tunajikuta kila mtu anahitaji raha.... sijawahi hata siku moja kupanga kufanya mapenzi.... never!! eti miss chagga we unapangaga?? hahahaahahKwani huwa unajisikia vp inapofika ile siku ambayo mmepanga kufanya yenu na boyfrnd mpya kwa mara ya kwanza?
anakataje hayo mawasliano? anazimia au? anakutupia kule hahhahahahah
Miss Chagga, Ukicheka 4ever utaitwa kichaa/mwehu !! hiyo dawa kazi ya kukinga na kufunguwa tu. belie
lakini si zinakuwa jukwaa husika
miss u too.......sijambo best
sasa wakikutana anaeunguruma na anaelia patakuwa hapatoshi humo chumbani!
achana nae huyo, akitaka siasa na kilimo kuna majukwaa yake aende.... vipi we hauna tatizo kama langu au hujawahi kusikia kwa mtu? miss neddy