thread za belie ZOTE zinazazungumzia kitu kile kile......
niombe mchezo ila uje na hela nitalia mwanzo mpaka mwishohujaacha uchokozi tu!??? na mi nataka nikuone unavolia....
Kumbe na wewe unahisia nilifikiri zippo kwenye ankara tuu miss chagga .
atakua na matatizo...
niombe mchezo ila uje na hela nitalia mwanzo mpaka mwisho
hayo yote nafanya, hunikumbatia kumbato zuri tu, na wakati huo sasa ndo machozi yanaponitoka bila sababu, huwa najitahidi asijue kama nalia coz akishaanza kunibembeleza ndo yanazidi kumwagika na kwikwi juu! na nashindwa kujizua kabisa, mpaka aniache kwa masaa kadhaa ndo nakuwa normal....mmmm Dunia inamaajabu yake tangu nizaliwa ndio kwanza leo nisikie hayo,nikulize mrembo hua unafikiria nini baada ya hayo mambo? kwani huwi karibu na mpenzi wako baada ya kula raha yani kuku hug au kwenda kukoga nae au kupumzika nae ? na una miaka mingapi?
ni kitu cha kawaida hicho kuna mawili hapo
,.....analia kwa furah ya kupta new guy na kukupa gegedo lililokukuna vizur unalilia utamu
,......unakuwa na mawazo ndni ya kichwa huyu nae kaona tena umbo lngu naked litaonwa na wangapi hadi ndoa....also unaogopa ishu za kuachwa tena na penzi ushatoa uuuuuupsi
mwache tuzungumzie yale yale ndiyo utamu
hayo yote nafanya, hunikumbatia kumbato zuri tu, na wakati huo sasa ndo machozi yanaponitoka bila sababu, huwa najitahidi asijue kama nalia coz akishaanza kunibembeleza ndo yanazidi kumwagika na kwikwi juu! na nashindwa kujizua kabisa, mpaka aniache kwa masaa kadhaa ndo nakuwa normal....
so sipendi hali hii coz hata ningekua nafanyiwa mimi nisingejisikia vizuri coz hata akiniuliza nalia nini sina cha kumjibu! umri wangu ni kati ya 20-25
Mkuu b,Habari zenu wapendwa.
Mwenzenu nna tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.
Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.
Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?
Ushauri jamani.
kwan siku hizi bado kuna kuombana!!! nkikupa chupa ya red wine tu, ukiimaliza utaniachia mwenyewe....
Hilo ni jini mahaba ndio linakuliza nenda kwenye maombi
Hamna mwanadamu mungu kamumba akiliwa alie Nooooo......
nshakwambia akinikuna vizuri, sasa kukunwa vizuri kuna maumivu?
Mkuu b,
nunua kitu chaitwa kohul yapatikana K'koo utumie once before na once after !! yote yataisha na kubaki ukicheka.......!
tatizo linaanza kila unapobikiriwa? Unabikiriwa mara ngapi kwani kubikiriwa si mara moja?