Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?

Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?

Unapoteza muda kuwafikiria hao viumbe. Live your life!
 
Hivi ushawahi kaa chini ukajitathmini wewe mwenyewe kwanza??
maana wadada wengi mnapenda kurusha tu lawama bila kuangalia chanzo cha tatizo ni nini, pengine wewe ndo una matatizo ndo maana kila siku unahangaika kutafuta mtu wa kusettle nae, kwa uzoefu wangu mimi najua mara nyingi kama bidada anajielewa mtu utabaki nae tu..
 
MUNGU ATANILETEA

SITAKI MWANAUME KUANZIA SASA

Kwahiyo Mungu atakuletea nini?
 
kama ulimpata humu basi jiandae kulia sana, humu hakuna wanaume walio na mapenzi ya dhati.
 
Na sifa zote zile ulizomsifia pole ujue kuna maisha lazima yaendelee bila mwanaume ukiona kwenye mapenzi hapakutaki achana napo
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa

don't be weak my dear who told you that you are not cute u met wrong people acha kusema sijui nina nini huna chochote kabisa sema ulie kutana naye ni player.... maneno kama hayo nilikuaga nasemaga zamani but nowdays am saved woman am no longer player... mpe stress za mda mfupi mwambie you are HIV POSITIVE
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Hutaki mwanaume mwingine halafu unasema unatulia Mungu atakuletea
Atakuletea nini sasa mnyama au ndege
Kama hutaki wanaume
 
Back
Top Bottom