silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,988
Acha panic wewe, wanaume wote hawafanani. Never give up!Sitaki mwanaume kuanzia sasa

Ukichoka kulia futa machozi maisha yaendeleeWana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Pole sana kihuba...ukiona mapenzi yanakuchanganya tafuta pesa siku hizi wanawake na maendeleo muondoe huyo jinamizi kichwani kwako waza utaingiza VP pesa.....usikae kumuwazia ukapata ugonjwa wa moyo....Wana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Wana JF,

Kukata tamaa ni dhambi, halafu unakosea kusema hutaki mwanaume tena, endelea kupokea form za maombi na mwisho atatokea mwenye sifa cha msingi tuliza kichwa na utafakari vema maombi ya watu utagundua jambo la maanaWana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Mungu ataniletea,sitaki tena mwanaume,mm sijaelewa.Wana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Pole kwa kweli umeumia mbona hata husemi tatizo ni nn?Wana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
nilitaka nikuite shoga ushuhudie watu wanalilia wanaume lol[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
pole dear kihuba,, hayo maumivu hayasimuliki,, ila ukiamua yanavumilikaWana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Wewe ukisema sitaki wanaume wenzako wanavalishwa Pete madhabahuni na wanaume hao haoWana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Ushaur mzuri mnoooPole sana kihuba, achana na wanaume watakutesa sana. Baki mwenyewe tuu
dyudyu haikkwepeki mwaya jikaze ili uliwe kilaini,hicho kitumbua kisipoliwa kwa muda mrefu akili zinahalibikaWana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
pole ya nini nawekwani hujui huyo ni ke na anahitaji mkia mnene kwa tobo lake.