Mc2nyi
Senior Member
- Nov 5, 2013
- 194
- 200
Kama utasubiri mpaka Mungu akuletee....utasubiri sana....cha msingi endelea kutafuta kwa umakini zaidi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nimeliona hilo
Kama ni dume naomba anipm nimpeleke pemba hatolizwa tenaTUMEKUCHOKAAA!!!!
Kila siku wewe tu mara natafuta,mara nalizwa ....afu nahisi wewe ni dume
Nilie mpata haeleweki wana jf kabadilika gafra hivi nina nini mie jamani kihuba
Hapa nalia tu duhuuuuuuuuuuuuuuu
Kweli wanaume pasua kichwa
Nimechoka sasa wacha nitulie tu mungu ataniletea jamani
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
hivi ww bibie ni dharau ama?Si kila mwanaume ndiye uliyeandikiwa, hata viatu visipokutosha vitabana au kupwaya
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ata mtoa mada ni ngumu sana kumuelewa
Hahahahahamkiambiwa someni haya mambo mtakutana nayo mbele hamtaki!!
Na yule aliesema amepata sijui mwanaume mashine? Kama nachanganya mtanisameheUnamfananisha na nani
Nitaamini vp ili bandiko lako kama ni kweliWana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Jamaa kamuachia footprints[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]