edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 983
Wanaume huwa tunaumizwa sana,ukikuta mwanaume kaumizwa basi ni mara kumi ya mwanamke aliyeumizwa asikwambie mtu alafu huwa hata hamjali wala kuwa na hurumaWana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Sisi huwa tunawekeza upendo pamoja na kuwahudumia pia huenda mwanamke akawa na kipaumbele kuliko hata ndugu wakati mwingine huduma zote muhimu na zisizo muhimu
Likija kutokea la kutokea maumivu yake huwa hayapimiki huwa tunavumilia tu na wakati mwingine watu wanahofia kuchekwa huenda maendeleo yako yalisimama umepot3za pesa nyingi
Wewe unalia kwa moja tu