Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?

Nalia kama sio kutoa machozi, wanaume mkoje?

Niwape mfano tu.

Nilikutana na mwanamke jeuri sana.

Anayetaka kunipangia kila nimfanyeye mama na yeye namfanyia.

Nilimnyoosha kwa nyundo.

Leo namuona binge la jike.

Kwa bahati mbaya namchapa **** kinyama.

Nikimshika atanasema kila neno duniani LA mahaba.

Na ikawa adabu sana.
hueleweki labuda uludi ukasome chini mwembe
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Dada pole, Muombe Mungu akuondolee maumivu. Cha pili nsi vizuri kujumuisha wanaume wote kwenye maumiv yako wakati aliye kuumiza ni mmoja tu. Na wanaume wanatofautiana,wema wapo wabaya nao pia wapo.
Huenda kuwa uliye kutana naye hakuwa chaguo la Mungu, Muombe Mungu akuletee aliyekupangia.
 
Pole sana kihuba, achana na wanaume watakutesa sana. Baki mwenyewe tuu
Unamponza mwenzio, si wote, wema wapo pia japokuwa ni wachache,na wabaya ndio wamekuwa wengi.
yupo ambaye Mungu amempanga.
 
We tuache tuu axe mabake hutatuweza ila genye zikikaba utatutafuta tuuuuu pamoja na kua hatuna akili
 
Wakati we unalia wanaume wamekuaje, wenzio tunalia wanawake wamekuaje? Kama unajijua wewe ni muaminifu basi njoo tufutane machozi, ila nina watoto wa2
 
Naomba watu befero hawajaji register humu wapimwe vitu vifuatavyo

1.Afya ya akili kama iko njema

2.Na mkojo nao upimwe
Maana sikuhizi wanajaa watu wa ajabu ajabu sana humu
Huu utaratibu napendekeza ufike hata kwenye nafas za Urais na mwenyekiti wa chama
 
na lishindo atapata wapi?mana mwanamuke bila lishindo akili zinaluka
Akatafute dildo ajimalize mwenyewe kwanza halitamsaliti atalimiliki peke ake ,alimtii mimba na ukimwi pia hatapata hata😵😵😀😀😀 na hatokuja Tena kulialia humu
 
Wana JF,

Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.

Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.

Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Huwezi acha sukari kama wewe ni mtumiaji wa chai.
Niajabu sana kuwachukia wanaume ama wanawake. Kuna vitu viwili pekee. Me and Ke. they are inseparable. Ukimchukia huyu yupo utakaempenda. Kwasasa umewachukia wanaume lakini it will take only few weeks kuwa katika hottest love u have ever experienced.
 
Back
Top Bottom