mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,040
Bwawa aka kisima cha mambabwabwa
Bwawa aka kisima cha mambabwabwa
Maneno unayatupa kihubaNilie mpata haeleweki wana jf kabadilika gafra hivi nina nini mie jamani kihuba
Hapa nalia tu duhuuuuuuuuuuuuuuu
Kweli wanaume pasua kichwa
Nimechoka sasa wacha nitulie tu mungu ataniletea jamani
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Nilie mpata haeleweki wana jf kabadilika gafra hivi nina nini mie jamani kihuba
Hapa nalia tu duhuuuuuuuuuuuuuuu
Kweli wanaume pasua kichwa
Nimechoka sasa wacha nitulie tu mungu ataniletea jamani
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
tumekuchoka sasaNilie mpata haeleweki wana jf kabadilika gafra hivi nina nini mie jamani kihuba
Hapa nalia tu duhuuuuuuuuuuuuuuu
Kweli wanaume pasua kichwa
Nimechoka sasa wacha nitulie tu mungu ataniletea jamani
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Utataka tuNilie mpata haeleweki wana jf kabadilika gafra hivi nina nini mie jamani kihuba
Hapa nalia tu duhuuuuuuuuuuuuuuu
Kweli wanaume pasua kichwa
Nimechoka sasa wacha nitulie tu mungu ataniletea jamani
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Unamfananisha na naniHivi huyu kihuba namfananisha au??
Ata mtoa mada ni ngumu sana kumuelewaWanaume ni ngumu sana kuwaelewa
invest what you are willing to lose
Ata mtoa mada ni ngumu sana kumuelewaWanaume ni ngumu sana kuwaelewa
invest what you are willing to lose
Na hata vikikutosha mwisho wa siku huchanika au kuchakaa.AsanteSi kila mwanaume ndiye uliyeandikiwa, hata viatu visipokutosha vitabana au kupwaya
Exactly aende shamba akaandae mvua za vuli zajaHuo muda umekaa unamlilia mwanaume ni bora ukatafte pesa.
Hakuna pesa inayotosha kihuba,bora ukaziongeze Mie sitoshekagi na pesa kwa kweli kila nikipatacho nakiona kidogo,stress zangu zote nazimalizia kwenye kutafuta pesapesa zipo
Nilie mpata haeleweki wana jf kabadilika gafra hivi nina nini mie jamani kihuba
Hapa nalia tu duhuuuuuuuuuuuuuuu
Kweli wanaume pasua kichwa
Nimechoka sasa wacha nitulie tu mungu ataniletea jamani
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Huyu anaigiza kufurahisha barazaJaman we juzi unarukaruka umepata mwanaume mashine leo unalialia hapa unazingua sio siri